Uponye moyo. Hivi ni nani aliwahi kukukataa humu JF?

Fulani, haaa siwezi kumtaja ila hadi leo ananiumaaaa. Mbaya sana alinitosa kibingwa bila kuelewa nawekwa "friends zone" maniner. Jinsi alivyo, dadeq...akikaa kwenye kiti utaangalia mara mbili kuna foronya au nini...haaaa ule mzigo noma...ila anyways, urafiki nimeukubali🤣🤣🤣🤣
 
umeukubali kishingo upande 😅😂
waswahili walisema mvumilivu hula mbivu.
 
Back
Top Bottom