Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #141
๐ ๐ ๐ anataka iPhone 14 Pro max huyoooAaliyyah uli sema iPhone 13 ni Bei gani๐คฃ๐๐
We mkubwa ushaelewa๐ ๐ ๐ na wee mbona unaamka mapemaaa sanaa.. huna cha morning glory nini..
Dah ko Ume amua kunisnitch kuwa silalagi๐คฃ๐Sio kuamka mapema halalagi kabisa huyu๐
Aunt yule mchumba yupo single Bado nimejisikia kuolewa๐intell simuelew
Haya uta mnunuliaa eh๐๐คฃ, Kama zawadi tuitumie๐๐คฃ๐ ๐ ๐ anataka iPhone 14 Pro max huyooo
Typing error ๐๐คฃ๐๐๐
jibu zuri hili, tuma salam kwa watu watatuMambo yangu niachie mwenyewe...
Poleni sana aisee...
Kwa umri wako, huna la kupoteza๐๐คฃ๐คฃNikweli mwanangu, mamayako bado ananiliza hadi leo...๐
Kaka Moyo una vuja dam hatari๐คฃ๐๐๐๐๐
nimeyaribu kuya mara moya nimekutana na kofuli
sema friends zone kuna muda ni mbaya sana mwanaume unamenyeka sanaUrafiki ni muhimu ndugu.
Kwaninisema friends zone kuna muda ni mbaya sana mwanaume unamenyeka sana