Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni chakula pia.Mi nakula ugali😁😁
We zijaze tu🤣😂😂, huenda uta punguza Maumivu 🤣😂
Kwani kila unaposet malengo yako unapata kile unachotaka? Kuna wakati ukubali kuwa hii sio kwa ajili yangu.lengo litimie mkuu
nmekuelewa mkuu and that's maturityKwani kila unaposet malengo yako unapata kile unachotaka? Kuna wakati ukubali kuwa hii sio kwa ajili yangu.
Kumbe kazi ni ngumu hv😅😅😅 katika PM zangu 11... zote majibu ni hasi... mitoso 11 mitongozo 11
mitongozo ya wazi wazi mitano matokeo hasi mitano...
moyo usivuje damu.. moyo kubali matokeo... moyo kubali kutoswaaa... moyo vumilia 😅😅😅
Pazito sanaaa humu chief.. kupata utelezi ni sawa na kupata fungu la DP worldKumbe kazi ni ngumu hv
Ngoja niendelee kubaki huku huku mtaani
utelezi atatoa 😬😬Haya uta mnunuliaa eh😂🤣, Kama zawadi tuitumie😂🤣
Yaani!kuna mda unaona kabisa unatumika, unakaa huna hili wala lile inaingia text au apiga anasema rafiki nmemiss hiki mara twende kule na kwakuwa una interest nae unamsikiliza na kutimiza.
kugharamika sana alafu unaambulia hugs tu, tena usiombe ajue unamuelewa ndio gharama zinazidi
chai saa nne si bora upige pasi ndefu ule mchana😂Karibu chai😂
Mchana napiga ndefuchai saa nne si bora upige pasi ndefu ule mchana😂
mchagua kei si....Hivi wajuba huwa mnatumiwa picha kwanza huko PM.?
Unaweza jikuta unashusha mistari kwa Prof Tibaijuka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole mkuu usikate tamaa. We tongoza na tongoza tena na tena mpaka uje upate positive[emoji28][emoji28][emoji28] katika PM zangu 11... zote majibu ni hasi... mitoso 11 mitongozo 11
mitongozo ya wazi wazi mitano matokeo hasi mitano...
moyo usivuje damu.. moyo kubali matokeo... moyo kubali kutoswaaa... moyo vumilia [emoji28][emoji28][emoji28]
sichoki ila PM hazijibiwi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole mkuu usikate tamaa. We tongoza na tongoza tena na tena mpaka uje upate positive
nyie watu nyie basi tu ukimgusa anakuwa mkali anakuambia naona unataka kuvuka mipaka tuheshimiane😂 😂[emoji3322][emoji3382]
yes lakini iwe kwa mtu unaemuelewa hautaona mzigo sanaYaani!
Lakini nayo ni njema.kuna enjoy fulani hivi unaipata unapo kuwa unasumbukia jambo hata kama hautaki fanikisha.
Binadamu bila kusumbuka maisha hayajawa mazuri,huwa hatupendi utulivu kabisa yaani.