mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
nakuja PM kumwaga sera,Ila wanaume wa jf mmeteseka sana mwezi huu poleni sana....Kuna aliyeng'atwa na mkewe sijui anaendeleaje ๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakuja PM kumwaga sera,Ila wanaume wa jf mmeteseka sana mwezi huu poleni sana....Kuna aliyeng'atwa na mkewe sijui anaendeleaje ๐๐๐
Dah kumbe Bora Moyo kuuma, Kuliko kungatwa๐๐๐ National Anthem, mshamba_hachekwi ๐๐Ila wanaume wa jf mmeteseka sana mwezi huu poleni sana....Kuna aliyeng'atwa na mkewe sijui anaendeleaje ๐๐๐
Furaha moyoni๐๐๐nakuja PM kumwaga sera,
At your own risk ๐nakuja PM kumwaga sera,
Aje na iPhone 13 na sio tu chipsi๐๐At your own risk ๐
endelea kusogea kwa wakala taratibu, nakuja unipe nambaAt your own risk ๐
tulia wewe wajuba tufanye namnaFuraha moyoni๐๐๐
Namba ya wakala natembea nayo kichwani we Sema suuuendelea kusogea kwa wakala taratibu, nakuja unipe namba
Hebu mfundishe huyu naona anafkiri me mtoto wa chuo ๐Aje na iPhone 13 na sio tu chipsi๐๐
USIOGOPE kuibiwa๐, Mimi wakala nipo hapa hapa ๐๐@mshamba_hachekwiNamba ya wakala natembea nayo kichwani we Sema suuu
Nitaipata bila makato ๐๐USIOGOPE kuibiwa๐, Mimi wakala nipo hapa hapa ๐๐@mshamba_hachekwi
ntumie kapicha kwanza nijitathmini najilipua kiasi ganiNamba ya wakala natembea nayo kichwani we Sema suuu
๐ฅด๐ฅด๐ฅด kuna kupasuka moyo na bandamaDah kumbe Bora Moyo kuuma, Kuliko kungatwa๐๐๐ National Anthem, mshamba_hachekwi ๐๐
Ya nini sasa unataka uitume kwa babuntumie kapicha kwanza nijitathmini najilipua kiasi gani
mkia upo??Ya nini sasa unataka uitume kwa babu
Nina mpaka Western Union ๐๐, so asiogope tuta ifikisga salama๐๐Nitaipata bila makato ๐๐
We wa busara Ume gundua nini? mshamba_hachekwi huyu new come ana wenge๐๐Na kukataliwa nako hadi mtangaze!
Vijana wa hovyo sana!