Uponye moyo. Hivi ni nani aliwahi kukukataa humu JF?

Uponye moyo. Hivi ni nani aliwahi kukukataa humu JF?

Sema hilo nalo neno, kuna wakati unakua umekaa nae nafsi yenyewe inatulia hata kama sometime nafsi inataabika .
Kuna watu wengine wamejaliwa kwa kweli.
mkuu hii imewahi nitokea kabisa, kuna ke ukitoka nae nafsi inaburudika sana na kutulia sijui itakuaje siku akinibless
 
mkuu hii imewahi nitokea kabisa, kuna ke ukitoka nae nafsi inaburudika sana na kutulia sijui itakuaje siku akinibless
Some time zile movement za ufriend unatamani ziendelee tu, unawaza leo au kesho nitapata mwisho wa siku mwaka huo hapo!
Ila omba asije kukubless siku usioitarajia ukaumbuka!
 
Unampigaje mtu sound;

Haujawahi kumuona,

Sura yake hauijui,

Sauti yake haijui,

Jina lake haulijui,

Kwake haupajui,

Jinsia yake hauijui

Tabia yake hauijui,

Hata ndugu zake hauwajui,

Huko PM unamuambiaje?? Nakupenda?? haya unampendea nini?

Anakukataa, unaumia?? Haya Unaumia kwa kukosa nini?

Hii zaidi ya kubeti kwa kweli,
 
Back
Top Bottom