Upotoshaji wa Kauli ya Rais Ukomeshwe. Wizara ya Afya Toeni ufafanuzi

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129
Gts,

Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya Rais juu daktari aliyegeuka mkataba.

Wizara ya afya toeni ufafanuzi.

Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na Serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi Serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.

Hivyo tamko la Rais lipo sahihi.
 
Gts,

Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya rais juu daktari aliyekeuka mkataba.

Wizara ta afya toeni ufafanuzi.

Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.

Hivyo tamko la rais lipo sahihi.
Hao wasomi waliomaliza vyuo na wako hawana kazi mkataba wao na Serikali utaanza lini?
 
Gts,

Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya rais juu daktari aliyekeuka mkataba.

Wizara ta afya toeni ufafanuzi.

Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.

Hivyo tamko la rais lipo sahihi.
Acha ujinga hujui chochote....tulia
 
Gts,

Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya rais juu daktari aliyekeuka mkataba.

Wizara ta afya toeni ufafanuzi.

Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.

Hivyo tamko la rais lipo sahihi.
Unaambiwa tu au unaota?
Huo mkataba alisanishwa daktar mmoja tu au?
Huna ushaidi. Nyamaza. Ndo mana mnampa kibure m7 wa chattle
 
Gts,

Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya rais juu daktari aliyekeuka mkataba.

Wizara ta afya toeni ufafanuzi.

Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.

Hivyo tamko la rais lipo sahihi.
IMG_20210130_123255.jpg
 
Back
Top Bottom