Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kwahio implication / adhabu ni kumfungia daktari na ikibidi kufungia na hospitali husika ?Gts,
Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya rais juu daktari aliyekeuka mkataba.
Wizara ta afya toeni ufafanuzi.
Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.
Hivyo tamko la rais lipo sahihi.