Upotoshaji wa Kauli ya Rais Ukomeshwe. Wizara ya Afya Toeni ufafanuzi

Gts,

Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya Rais juu daktari aliyegeuka mkataba.

Wizara ya afya toeni ufafanuzi.

Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na Serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi Serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.

Hivyo tamko la Rais lipo sahihi.
Hivi ukiwa ccm lazima uwe mpumbavu..??
 
Gts,

Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya Rais juu daktari aliyegeuka mkataba.

Wizara ya afya toeni ufafanuzi.

Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na Serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi Serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.

Hivyo tamko la Rais lipo sahihi.
Njaaa itakuuwa wewe chumia tumbo,unajuaje kama hajamaliza mkataba wake ?
 
Back
Top Bottom