Upotoshaji wa Kauli ya Rais Ukomeshwe. Wizara ya Afya Toeni ufafanuzi

Gts,

Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya Rais juu daktari aliyegeuka mkataba.

Wizara ya afya toeni ufafanuzi.

Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na Serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi Serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.

Hivyo tamko la Rais lipo sahihi.
Hongera kwa tafsiri. Ila wengi wamelichukua neno kama lilivyotoka kinywani mwa mhusika.
 
Gts,

Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya Rais juu daktari aliyegeuka mkataba.

Wizara ya afya toeni ufafanuzi.

Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na Serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi Serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.

Hivyo tamko la Rais lipo sahihi.
Litakuwa sahihi kama daktari alikuwa ndani ya mkataba vinginevyo ni batili
 
Back
Top Bottom