Upotoshaji wa Kauli ya Rais Ukomeshwe. Wizara ya Afya Toeni ufafanuzi

Gts,

Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya rais juu daktari aliyekeuka mkataba.

Wizara ta afya toeni ufafanuzi.

Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.

Hivyo tamko la rais lipo sahihi.
Weka namba ya simu,ununuliwe debe la mahindi.
 
By the way ni bora zaidi kama kauli zinazotoka ziwe precise na zakueleweka zisizoweza potoshwa au kuhitaji ufafanuzi
 
Gts,

Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya rais juu daktari aliyekeuka mkataba.

Wizara ta afya toeni ufafanuzi.

Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.

Hivyo tamko la rais lipo sahihi.

Halafu huwa tunashangaa kwa nini tunarushiwa ndizi
 
Tuseme mfanyakazi kuhama kwenda kwenye maslahi mazuri ni kosa kisheria?
Kwa mujibu wa huyo mzee wao, eti hilo ni kosa!! Yaani anaagiza wasaidizi wake kuwatafuta Madaktari walio amua kwa hiyari yao wenyewe kukimbia njaa Serikalini huku mtaani kukiwa kuna Madaktari wengine lukuki tu wakiwa hawana ajira!!

Hii Nchi ina viongozi wanao shangaza sana.
 
Hao si wametoa nafasi za ajira,kwani ajira hutolewa nafasi inapokuwepo,au kuziba pengo.Au ndio kusema ajira zimekoma kabisa. Huyu aliejitafutia pa kujiajiri ametengeneza nafasi ya ajira kwa asiye nayo, au nasema uongo ndugu zangu.
 
Mkuu mtoa mada wanaokubishia wameelewa hoja yako ila kama kawaida yao wapo hapa kusogeza muda tuu.
 
Kwa mujibu wa huyo mzee wao, eti hilo ni kosa!! Yaani anaagiza wasaidizi wake kuwatafuta Madaktari walio amua kwa hiyari yao wenyewe kukimbia njaa Serikalini huku mtaani kukiwa kuna Madaktari wengine lukuki tu wakiwa hawana ajira!!

Hii Nchi ina viongozi wanao shangaza sana.
Sheria katika nchi hii si lolote mbele ya mkuu wa nchi
 
Gts,

Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya rais juu daktari aliyekeuka mkataba.

Wizara ya afya toeni ufafanuzi.

Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.

Hivyo tamko la rais lipo sahihi.
Si utaje tu jina na namba ya simu ieleweke kuliko kutetea ujinga kwa ID fake?
 
Mkuu uwe na heshima na mwenyekiti wetu, mbona nyie tunawaheshimu.
Hakuna mwizi wa kura mwenye heshima. Mngekuwa na heshima msingemwaga damu za wananchi ili mkae madarakani bila ridhaa yao.
 
Hili swala linakuzwa sana na Chadema.

Mfano Dr Kigwangalla yeye alisomeshwa na WAMA ndio maana serikali haikushughulika naye.
Aliyetoa agizo la kukamatwa daktari wa Tabora yeye mwenyewe aliondoka Sengerema sekondari kwa nguvu kwenda kusoma udsm akiwa na mwaka mmoja na nusu kazini, aliporudi akaenda NYANZA badala ya kurudi kufundisha. Naye atafutwe na mzee Mwinyi arudishe fedha za serikali?
 
Back
Top Bottom