Hivi wewe mataga hiyo hospital binafsi inahudumia fisi hadi mwenyekititi wako wa ccm anaagiza ifungwe???Mkuu uwe na heshima na mwenyekiti wetu, mbona nyie tunawaheshimu.
Hao wasomi waliomaliza vyuo na wako hawana kazi mkataba wao na Serikali utaanza lini?Gts,
Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya rais juu daktari aliyekeuka mkataba.
Wizara ta afya toeni ufafanuzi.
Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.
Hivyo tamko la rais lipo sahihi.
Acha ujinga hujui chochote....tuliaGts,
Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya rais juu daktari aliyekeuka mkataba.
Wizara ta afya toeni ufafanuzi.
Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.
Hivyo tamko la rais lipo sahihi.
Unaambiwa tu au unaota?Gts,

Kuheshimiana kungekuwepo tusingefika hapa tulipo kama taifa,au ndio unatoka usingizini.Mkuu uwe na heshima na mwenyekiti wetu, mbona nyie tunawaheshimu.
Sehemu zipi hizo za 5 years???Yes, sehemu zingine 5 years
Najua wengine kazi ni kutetea hata maovu ili Maisha yaende.Hili swala linakuzwa sana na Chadema.
Hivi wewe mataga hiyo hospital binafsi inahudumia fisi hadi mwenyekititi wako wa ccm anaagiza ifungwe???
Yani bora ukae kimya aisee.
Gts,
Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya rais juu daktari aliyekeuka mkataba.
Wizara ta afya toeni ufafanuzi.
Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.
Hivyo tamko la rais lipo sahihi.
Hili swala linakuzwa sana na Chadema.
Mfano Dr Kigwangalla yeye alisomeshwa na WAMA ndio maana serikali haikushughulika naye.
Ila kuu sio wote wamesoma masters under gov sponsorshipMkataba ni miaka miwili, kama umefanya post graduate through secondment.