Upotoshaji wa Kauli ya Rais Ukomeshwe. Wizara ya Afya Toeni ufafanuzi

Hoja ya kipuuzi. Hayo mambo yalikuwa zamani.

Kwa sasa hakuna mwanachuo anayesomeshwa na Serikali. Hakuna hata mmoja. Serikali inawakopesha wanavyuo wanaoomba mkopo wa masomo.

Hivi ukichukua mkopo bank, ukajenga nyumba, na baada ya kumaliza kujenga, unaendelea na ulipaji wa deni, hiyo nyumba inakuwa yako au inakuwa mali ya bank?

Sijui kwa nini, kila mara watetezi wa Serikali na Rais, wanakuwa ni watu wale wajinga wajinga, wanaoshindwa kufanya reasoning.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huo ndio ukweli, tatizo la wizara ya afya kuajiri bila kuwafanyisha interview hayo ndio mazara yake, wanakua hawana uchungu na kazi kabisa. Wizara ianze kuwafanyisha interview hawa jamaa wafanye interview mbili written na oral watajifunza kuheshimu kazi
 
Comparison yako ni invalid haina relation mzee bado anatumikia Taifa tena kwa weledi mkubwa.
 
Linakuwaje sahihi wakati hajui kama yule daktari alikuwa amesomeshwa na serikali? To cut the story short, mzee yule kapotoka na hana busara kichwani mwaka!
 
Kuna sheria ipo kuhusu hilo
Hakuna Sheria asilani,watu wa kada mbalimbali wanaacha kazi Tena Mara tu baada ya kuripoti wakiona mazingira ya kazi sio.
Labda sasa itungwe Sheria au kanuni mtu akiajiriwa lazima afanye kazi miaka kadhaa au taratibu za kuacha kazi ziangariwe upya
Sio ghafula jukwaani

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Sehemu zipi hizo za 5 years???

Je kuna kifungu cha sheria kinasema hospital binafsi ifungwe kwasababu tu dr amehamia hapo kutoka hospital ya taifa????
Bro kwanza ikifungwa nani ataathirika, sababu hospitali binafsi zinapunguza msongamano kwenye hospitali za serikali, na sio kweli wanaotibiwa hospitali za binafsi wanafedha nyingi bali ndugu zao wanawachangia ili watibiwe huko kutokana na umuhimu wao katika jamii, kama vile serikali inavyo wapeleka watu wake huko nje kutibiwa kutokana na nafasi zao.
 
Kwamba na hospital alikoenda ifungiwe?
 
acha kukurupuka, unahisi wote wamesikia hiyo kauli? andika vizuri wakati unakuja na ujinga wa wenzako, na bahati mbaya hawakujui kuwa unakula matapishi yao ili wakufikirie
 
Alisema wamempa mkopo sio scholarship..

Kwani ukifanya Kazi private huo mkopo hulipi?

Mbona rafiki yangu yupo private na bodi inakata hukohuko?

#YNWA
 
Walamba nyayo at their best!

Jamaa lina 'wivu' na uchungu kama wa mimba likiona Madktari wananeemeka.
 
Mkuu uwe na heshima na mwenyekiti wetu, mbona nyie tunawaheshimu.

Mwenyekiti wenu should earn his respect!!! You do not have to be employed by the government in order to pay your loan!!!
 
Kwanini mnawapingia?
Sina uzoefu sana Lakini nasikia kuna makundi mawili
Kundi la kwanza ni pale serikali inapokuwa na uhitaji. Wafanyakazi wanasomeshwa na serikali wakiwa kazi;
Hawa hupewa ufadhili na serikali kwa kulipiwa gharama zote. Pia huendelea kupokea nusu mshahara akiwa huko masomoni..akimaliza anarudi kazini kupewa majukumu mapya na mkataba maalum
Kundi la pili: Mfanyakazi binafsi anapoamua kwenda kuongeza elimu bila kujali mahitaji ya mwajiri. Huyu yeye hujitafutia ufadhili binafsi au kujigharamia mwenyewe na anapokuwa huko ataomba likizo isiyo na malipo namshahara wake husimamishwa,na wengine hutakiwa kuacha kazi kabisa na ataomba upya akirudi
Mwenye uelewa ajazie
 
Kwanini mnawapingia?
Sina uzoefu sana Lakini nasikia kuna makundi mawili
Kundi la kwanza ni pale serikali inapokuwa na uhitaji. Wafanyakazi wanasomeshwa na serikali wakiwa kazi;
Hawa hupewa ufadhili na serikali kwa kulipiwa gharama zote. Pia huendelea kupokea nusu mshahara akiwa huko masomoni..akimaliza anarudi kazini kupewa majukumu mapya na mkataba maalum
Kundi la pili: Mfanyakazi binafsi anapoamua kwenda kuongeza elimu bila kujali mahitaji ya mwajiri. Huyu yeye hujitafutia ufadhili binafsi au kujigharamia mwenyewe na anapokuwa huko ataomba likizo isiyo na malipo namshahara wake husimamishwa,na wengine hutakiwa kuacha kazi kabisa na ataomba upya hasa kwenye mashirika akirudi
Mwenye uelewa ajazie
 
Ndiyo maana wizara itoe tamko rasmi la ki mazingira linaloendana na huo mkataba
 
Tufahamishe ni muda gani unatakiwa halafu huyo ndugu alikaa muda gani??
Nini maana ya kusomeshwa,na je unaweza toa ufafanuzi ama utofauti kati ya elimu bure itolewa la kwanza mpaka form four na elimu inayotolewa chuo kikuu kwa mkopo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…