Uchaguzi 2020 Upotoshaji wa makusudi dhidi ya Tundu Lissu

Hakuna Kama LISSU Uchaguzi huu.
Lissu ana sifa zote za kuwa Rais wa JMT. NIYEYE ✌🏽✌🏽✌🏽

Mtupoli limekua Lori la mkaa tripu shamba tripu gereji.
Na hivi halijui kidhungu ndio kabisa kabisa halifai.
 
Hii Huwezi kuelewa kwa vile umejaza "MBOJI"🤣🤣🤣 pale mahali juu ya shingo papapohusisha kufikiri,kutafusri mambo.

Pole mkuu "MBOJI" si mchezoooo 🤣🤣🤣🤣
 
Umejitahidi sana kumsafisha TL kutumia uongo. Ukweli ni kwamba JPJM ndiyo mtetezi wa wanyonge pamoja na rasilimali zetu KWA VITENDO. TL tayari kishasema wakipewa madaraka ataweka madini yetu dhamana KWA HAO MAKABURU. Ndiyo maana Amsterdam, Trippi, nk wanafanya kazi kutishia taifa huru kwa uchu wa madini yetu. AMKA MJOMBA MAKABURU HAWAKUPENDI, WANAPENDA MALI ZAKO.
 
Wakili wa Lisu anatisha watu na taasisi zetu,

Lisu naye anaapa kuwa asipotangazwa na NEC patachimbika, yaani labda sijui iweje ila lazima atangazwe mshindi.

Kuna clip nyingi Sana akisema hivyo, hakuna haja ya kuandika uzi huu kutudanganya.
 
Naona una masikio yanayosikia yasiyosikika kwa wengine. Kwa ujumla Lissu wako anajisemea lolote, popote! Leo hili kesho lile na hana kumbukumbu ya jana. Unahangika bure kufafanua wakati wote tunasikia anachosema. Wapiga kura ktk umri wa miaka 18 na zaidi hatuwezi kushindwa kusikia anachosema kwa usahihi. Tuachie tu, tunasubili 28 oktoba.
 
Inawezekana kusoma tusijue, lakini hata kuangalia picha hatujui? Mtu anafoka vile hajawa rais, akiwa rais itakuwaje? Nakumbuka alivyowaka katika ishu ya Zitto, hata viongozi wakuu wa Chadema wenyewe hawataki awe Rais na ndio maana wamekuacha. Anabaki kusema amekuwa adui wa kila mtu.
 
Yaani Mods waogope nyuzi za CHADEMA hata zilizo live huko ndio kulinda image kwa namna gani, hata taarifa ya Lissu kusali Azania Front nayo ukiiondoa unalinda image ya JF? Hii kwangu ni mpya sana!
Sasa Lisu kusali azania front nayo unataka iwe taarifa ya kujaza saver za jf kwa muda wots huo?

Hizo peaneni kwenye magroup yenu huko whatsap
 
yan mim nataka tu unieleze huuyu mzee wa Miga kweli atalinda yetu? na je angeweza kuvimbia wazee wa Makinikia.???
mnyonge mnyongen haki yake mpen.wewe niambie je Makinikia sakata lake angevimba au angelegea???
ukijibu tu narudi ufipa
 
Kwenye huu uchaguzi ccm na wote wanaowaunga mkono wakiwemo hata viongozi wa dini hawaongelei kabisa haki.

Wao wanasisitiza tu amani na kuwa watu waepuke vurugu na fujo lakini mazingira yanaweza kupelekea kuchochea hiyo hali kutokea hawazungumzii kabisa hali inayoonyesha ni kwa kiasi gani watu walivyo wanafiki.
 
Lisu ni kibaraka wa wazungu yaani ni wakala wao katumwa kuja kuleta vita, hafai na hatokuja kufaa kabisa. Akina Kambona walikuwepo wakashindwa sembuse huyu mwenye upungufu wa akili? Tena hajulikani na watanzania
 
Hatutaki mtu mwenye wazo la kuingiza watoto wa watu barabarani wavunjike miguu.

Pumbavu kabisa wewe, amesema uchaguzi uwe huru kusiwe na mizengwe sasa kinashindika nini kuwa na uchaguzi huru akatangazwa mshindi wa halali. Ati hatutaki mtu wa kuingiza watu barabarani, kwahiyo mnataka kuiba kura halafu muambiwe tunamuachia Mungu.
 
Mimi kwangu mtu yoyote mwenye uwezo wa kuitoa ccm madarakani niko tayari kumpa support, hata wewe pamoja na akili yako hiyo kama naona unaweza kuitoa ccm naweza kukupa support.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna adui mkubwa Tz kama Jiwe, amka mkuu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…