Uchaguzi 2020 Upotoshaji wa makusudi dhidi ya Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Upotoshaji wa makusudi dhidi ya Tundu Lissu

Yan mkuu sijakuwa na haja ya kupitia maandiko yako mpaka mwiaho ila hauko sahihi
Maana ikiwa alie sign mkataba alikuwa anasign kwa akili yake sahihi itakuwaje uje leo ukatae huu ninujinga mkubwa haya.

Nilisoma juz kuwa Wahind wana kesi na sisi baada ya kubadili sheria ambayo imewapa hasara kwa kuwa mikataba iliosigniwa ilikuwa haijakidhi vigezo vyote ilitakiwa mzee akae na wahusika waneghoshieti na sio kuwaita wezi na mabeberu.

Kwaiyo Lissu yuko sahibi kwa maanasheria za mikataba mnazijua ukivunja mkataba unamlipa fidia muhusika haya saiv si tunalia na hakuna kitu kimebadilika zaidi huyo jiwe kujisifia kwenye amna upumbavu mkubwa tu[emoji706][emoji706][emoji706]
 
We hujui hata unaongea nini tulia Una mquote Nyerere kwa uozo na je Aliyesema CCM si mama yangu alikua ni nani?

MATAGA mnaropoka tu ungejua Nyerere angefufuka leo angewakana kama Yesu alikua hapendi watu wanaojipendekeza kama wewe.
Wewe haujipendekezi kwa Lissu? Huyo Lissu unayejinyenyekeza kwake anakujua? Pumbavu!!!
 
Njia ya mwongo ni fupi siku zote. Atasema yule ni beberu lakini matendo yake ni ya kibeberu lakini hajioni
 
Tunakusamehe buree kabisa... Maana ndo uwezo wako wakufikiri umeishia hapo. Pole
 
Umejitahidi sana kumsafisha TL kutumia uongo. Ukweli ni kwamba JPJM ndiyo mtetezi wa wanyonge pamoja na rasilimali zetu KWA VITENDO. TL tayari kishasema wakipewa madaraka ataweka madini yetu dhamana KWA HAO MAKABURU. Ndiyo maana Amsterdam, Trippi, nk wanafanya kazi kutishia taifa huru kwa uchu wa madini yetu. AMKA MJOMBA MAKABURU HAWAKUPENDI, WANAPENDA MALI ZAKO.
Sijui sisi watanzania tulikua wapi kudai tume HURU ya Uchaguzi , majirani zetu Kenya wanashangaa, mgombea ndiye anayeteua wajumbe, wakurugenzi na makamishna wa tume kweli tutegemee mkurugenzi atamwangusha aliyempa ugali?? Tuamke tuamke
 
Kwani nani kasema Lissu ni mme wako?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Unaonaje swali Kama Hilo ukimuuliza baba yako mzazi halafu uje hapa jf utueleze alivyojibu...baada ya hapo uende pia ukamuulize mama yako mzazi aliyekuzaa...jibu lake pia utuletee humu jf...
 
Si ametamka mwenyewe kuingiza watu barabara iwapo atatangazwa kuwa Rais?
 
Naona una masikio yanayosikia yasiyosikika kwa wengine. Kwa ujumla Lissu wako anajisemea lolote, popote! Leo hili kesho lile na hana kumbukumbu ya jana. Unahangika bure kufafanua wakati wote tunasikia anachosema. Wapiga kura ktk umri wa miaka 18 na zaidi hatuwezi kushindwa kusikia anachosema kwa usahihi. Tuachie tu, tunasubili 28 oktoba.
Namna bora ya kumkomesha ni kuwashawishi watanzania kwa uwingi wao wasimpigie kura. Yaani ashindwe kwenye sanduku la kura. Lakini mambo ya kumzushia uongo hayapendezi na hayana tija.

Nasisitiza jitahidi kuwashawishi watanzania wasimpigie kura hiyo pekee ndio dawa.
Mkishindwa kufanya hivyo halafu watanzania kwa mapenzi yao wakamchagua kwa kura nyingi mtafanyaje?

Je mtazuia ushindi wake?
 
Unaonaje swali Kama Hilo ukimuuliza baba yako mzazi halafu uje hapa jf utueleze alivyojibu...baada ya hapo uende pia ukamuulize mama yako mzazi aliyekuzaa...jibu lake pia utuletee humu jf...
Mkuu mbona swali langu ni rahisi sana, sijaona sababu ya wewe kuanza kuwahusisha wazazi wangu. Kama hakuna aliyesema hilo wewe kanusha tu kuwa siyo wako basiii
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Namna bora ya kumkomesha ni kuwashawishi watanzania kwa uwingi wao wasimpigie kura. Yaani ashindwe kwenye sanduku la kura. Lakini mambo ya kumzushia uongo hayapendezi na hayana tija.

Nasisitiza jitahidi kuwashawishi watanzania wasimpigie kura hiyo pekee ndio dawa.
Mkishindwa kufanya hivyo halafu watanzania kwa mapenzi yao wakamchagua kwa kura nyingi mtafanyaje?

Je mtazuia ushindi wake?
Boss! Tanzania siyo JF! Kama tume ya uchaguzi ni mod wa JF na thrd za JF ni majimbo, basi atapigiwa kura.
 
Wewe haujipendekezi kwa Lissu? Huyo Lissu unayejinyenyekeza kwake anakujua? Pumbavu!!!
Kumbe mnamtetea jiwe mpaka mishipa inawatoka kisa tu ni kwa kuw a wewe ni mnufaika wake!!??
Kweli aliyewafanya misukule kawaweza sana.
Ni bahati mbaya kuzaliwa kwenye familia masikini sana,lakini ni ukosefu wa akili kuendelea na umasikini kwa kutegemea kulamba viatu vya mtu aliye na madaraka.
 
Boss! Tanzania siyo JF! Kama tume ya uchaguzi ni mod wa JF na thrd za JF ni majimbo, basi atapigiwa kura.
Wakati ukiyasema hayo kumbuka nawewe upo humu humu JF.

Sijui huo uhakika kuwa jamaa hana watu wa kumpigia kura unaupata wapi.

Au we mwenzetu uatapiga kura kwa niaba ya watanzania wote nini?
 
Wakati ukiyasema hayo kumbuka nawewe upo humu humu JF.

Sijui huo uhakika kuwa jamaa hana watu wa kumpigia kura unaupata wapi.

Au we mwenzetu uatapiga kura kwa niaba ya watanzania wote nini?
Alishajichanganya boss! Ukianza kutueleza mambo ya kutetewa na Amsterdam, na kuilaani nchi ukiwa Nairobi ukasifiwa, halafu unajirudisha hapa TZ kuomba kura, that is nonstarter!
 
Back
Top Bottom