KALIMIMBILI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2021
- 205
- 362
kama babu yako magu,siyo??Kuna tofauti kubwa kati ya Prof. na mropokaji na mganga njaa wa Ubelgiji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama babu yako magu,siyo??Kuna tofauti kubwa kati ya Prof. na mropokaji na mganga njaa wa Ubelgiji.
Nachozungumza ni uhalisia tofauti na kejeli zako unazozitoa hapa.
Wapo ambao wanataka asirudi kabisa kwani wanasema ni mtu wa vurugu na atavuruga amani iliyopo kwa sasa,
Hayo ni maoni ya wanachi mkuu, wale wasiopenda siasa za kijinga kama zake ambao ni wengi sana na ambao hawakumchagua 2020.
Bora njaa anayejielewa. Kuliko aliyeshiba na kuvimbiwa hahdi ubongoKuna tofauti kubwa kati ya Prof. na mropokaji na mganga njaa wa Ubelgiji.
Hivi ulisikiliza mahojiano au ulisimuliwa?kweli hata wajinga nao wanazeekaMtakuwa na machungu sana kuwa upotoshaji mliokuwa mmejipanga nao kuhusiana na mazungumzo haya umeporomoka mithili ya gunia tupu.
Ama kweri gunia tupu halisimami!
Hiiiiii!
Ona hili jinga linajua alikua anahojiwa lipumbaYeye Lipumba anaukamilifu gani?
Hivi ulisikiliza mahojiano au ulisimuliwa?kweli hata wajinga nao wanazeeka
Wajinga ni wale waliokubali kujihangaisha kukutafuta wakati wapo kwenye mkesha wa mbio za mwengeOna hili jinga linajua alikua anahojiwa lipumba
KweeeriiiiiiiiPana links 2 zina video attached. Bado unauliza utopolo huu unaouliza?
Hamuwezi kuelimika mamburula nyie hata kama mtakaa kutambika!
Ni wazi kuwa uliyesimuliwa ni wewe. Na ni kweri kuwa mjinga wewe sasa hivi umezeeka kweri kweri!
Au nasema uongo ndugu zangu?
Mkuu umeandika vyema sana kuliko hawa anaowaita Lissu majasiri au wenye kujitoa ufahamu wanaotaka kutuaminisha visivyo kuwapo akina johnthebaptist.
La msingi sana kuona mazungumzo yale yalikuwa na utulivu na umakini mkubwa. Sasa hawa ndugu zetu walioishiwa hoja na kuona kulikuwa na hasira wanayaona hayo wapi, kutokea Lumumba?
Au ni ushabiki ushabiki kwa sababu huyu jamaa naye jina lake ni Lumumba?
Mengine uliyoandika wewe ni ufafanuzi wa mawazo yako tu, ambayo ninayaheshimu ila na wewe heshima ya mawazo ya wenzio. Ndiyo ustaarabu huo.
Nionacho katika mazungumzo hayo kama Lumumba analipata nafasi ya kusikia alichoongea Lissu atakuwa kajifunza kuwa:
Tanzania kama ilivyo kwa binadamu wengine tunahitaji demokrasia, kuheshimiwa kwa haki za binadamu, kuheshimiwa kwa sheria na katiba.
Zaidi sana atakuwa katambua kuwa tupo tunaoamini kuwa tunawajibika kimataifa bila ya kusahau wajibu wetu kuhusiana na ugonjwa wa Corona.
Lumumba atakuwa kajifunza si watanzania wote wenye kukumbatia ushirikina dhidi ya sayansi.
Lumumba atakuwa kajifunza kuwa Tanzania ni ya watanzania wenyewe!
Au nasema uongo ndugu zangu?