- Thread starter
- #81
Sasa ndio huyo aliyeongea kwa hasira ndio kashushuliwa na PLO Lumumba kwa urongo wake bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndio huyo aliyeongea kwa hasira ndio kashushuliwa na PLO Lumumba kwa urongo wake bwashee!
Weka clip!
Hahahaaaa...... huyo haliwezi yai la PLO Lumumba labda angekuwa mtafsiri ni Nyani Ngabu!Kwenye mada kuna mazungumzo yote kama yalivyokuwa mmoja baada ya mwingine. Clip ipi zaidi unataka wewe?
Huyu hapa ni wakulungwa mwenzako. Hakuyaona ya hasira unayoyasema wewe:
View attachment 1740927
Hiiiiii bagosha!
Ili iweje?Makamu wa Rais Dr Mpango amewataka wabunge wote wa upande wa pili kujiunga CCM!
Kwani alijeruhiwa na nani?Mbeligiji, akili zake sio zile tena za kabla ya kujeruhiwa kwake,
Kuna Yule wa awali kabla ya tukio lililotokea makao makuu pale, huyo alikuwa kichwa haswaa!!
Huyu wa leo wa Ubeligiji, ni empty, hamna kitu tena!!!
Najua basi!!Kwani alijeruhiwa na nani?
Mkuu Edward Sambai ,Tanzania imekuwa ya uongo uongo awamu ya baba wa uongo.Wamezoeshwa kuishi kwa uwongo kwa miaka 5 ila wanapaswa kujua kuwa majira yamebadilika sasa
Halafu yakakuvalisha wewe hizo nguo alizovuliwa Bw. Lissu!!!????Mahojiano Yamemvua Nguo Bw. Lissu.
Liongo hilo mkuu,mfuasi wa baba wa uongo.VV zao ndiyo lugha ipi hiyo?
Labda wakijiunga na ccm ndiyo watasaidia kushusha bei za vifurushi vya internetIli iweje?
Unataka kutuaminisha Lisu hajakomaa kisiasa? Nadhan kuna scenario ambayo inaleta haya yote. Why before the attempt of his assassination haya yote hayakuepo?Kukosa ukomavu wa kisiasa!
Hahahaaaa...... huyo haliwezi yai la PLO Lumumba labda angekuwa mtafsiri ni Nyani Ngabu!
Wewe na wenzio wa Lumumba mnamfuatilia sana, ila anawakera kwa kutema waziwazi madhaifu ya marehemu mnayoogopa kuyasikia hata kwenye NJOZI.Lissu ni mgonjwa wa akili hamna anayemfatilia.
PLO Lumumba alisema amemsikiliza vizuri Tundu Lisu ambaye ameongea kwa hasira kila anapomzungumzia hayati Magufuli.Haifahamiki rejea yako ni ipi.
1. Shaka aliongea na Lissu kwanza kabla ya kuongea na Prof Lumumba.
2. Kwa mazungumzo ya Shaka na Lissu hakukuwa na reference ya Prof PLO Lumumba popote.
3. Reference ya Lissu kwa Lumumba ililetwa na Lumumba katika kutetea hoja kuwa marehemu aachwe kupumzika kwa amani.
Wajameni hata kama marehemu alikuwa mwuaji?
Hasira za Lissu ambazo hata wakulungwa wenzio hawakuziona ulizipata kwa Lumumba profesa au Lumumba mtaa?
View attachment 1741066
Brazaj: unamjua lissuuuuuu au unamsikia tu? Angemtukana mtangazaji, angekutukana wewe, angemtukana magufulu pamoja na umarehemu wake, chombo hicho kingefungikiwa (kila nchi ina cyber crimes rules,au faini kali za defamation). Mtangazaji alifanya utafiti wake before hand, na labda alimuuliza Professor pia, au alijua tu kwamba tundulissu ni fyatu. Ulisikiliza interview ya tundulissu peke yake alivyodai kuwa Magufuli kafia India?Mabibi na mabwana kuna upotoshwaji wa wazi wa kilichotokea straight talk Africa jana.
Labda kwa sababu ya siku 21 za maombolezo ya msiba mkubwa tuliomo, Star TV hawakuyaonyesha kabisa mazungumzo hayo.
Kilichotokea katika mazungumzo haya ya nia njema kama yalivyokuwa, Lissu aliongea kwanza na bwana Shaka Ssali:
Baada ya kumalizana na Lissu, Shaka aliongea baadaye na Prof. Lumumba bila ya Lissu kuwapo:
Kumhusisha Lumumba na Lissu au vice versa ni upotoshaji wa wazi wenye kukosa mashiko.
Ni wazi kuwa Shaka alihoji na kujibiwa kila alichohitaji majibu akiheshimu kikamilifu mitizamo ya kila mmoja.
Hapakuwa marumbano yoyote katika mazungumzo hayo.
Kwamba nani kamfunda nani? Wajameni wapi kulikuwa na kufundana?
Hiiiiii!
Lissu is a loser....PLO Lumumba alisema amemsikiliza vizuri Tundu Lisu ambaye ameongea kwa hasira kila anapomzungumzia hayati Magufuli.
Prof Lumumba akasema anamuheshimu Tundu Lisu kwani wako kwenye tasnia moja ya sheria na hata alipopigwa risasi alimpa pole ila anamshauri apunguze hasira kwani anaweza kupoteza ushawishi na heshima aliyonayo kwa wafuasi wake.
Binafsi Tundu Lisu sikumsikiliza kabisa, maana angeweza kuniharibia utaratibu wangu wa Juma Takatifu!
Brazaj: unamjua lissuuuuuu au unamsikia tu? Angemtukana mtangazaji, angekutukana wewe, angemtukana magufulu pamoja na umarehemu wake, chombo hicho kingefungikiwa (kila nchi ina cyber crimes rules,au faini kali za defamation). Mtangazaji alifanya utafiti wake before hand, na labda alimuuliza Professor pia, au alijua tu kwamba tundulissu ni fyatu. Ulisikiliza interview ya tundulissu peke yake alivyodai kuwa Magufuli kafia India?