greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Nimeona na kutazama, kwani ulikuwa unasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabibi na mabwana kuna upotoshwaji wa wazi wa kilichotokea straight talk Africa jana.
Labda kwa sababu ya siku 21 za maombolezo ya msiba mkubwa tuliomo, Star TV hawakuyaonyesha kabisa mazungumzo hayo.
Kilichotokea katika mazungumzo haya ya nia njema kama yalivyokuwa, Lissu aliongea kwanza na bwana Shaka Ssali:
Baada ya kumalizana na Lissu, Shaka aliongea baadaye na Prof. Lumumba bila ya Lissu kuwapo:
Kumhusisha Lumumba na Lissu au vice versa ni upotoshaji wa wazi wenye kukosa mashiko.
Ni wazi kuwa Shaka alihoji na kujibiwa kila alichohitaji majibu akiheshimu kikamilifu mitizamo ya kila mmoja.
Hapakuwa marumbano yoyote katika mazungumzo hayo.
Kwamba nani kamfunda nani? Wajameni wapi kulikuwa na kufundana?
Hiiiiii!
Nimeona na kutazama. kwani ulikuwa unasemaje?
Kukosa ukomavu wa kisiasa!Ukiangalia nn kinapelekea mpaka aongee kwa hasira mkuu
Kukosa ukomavu wa kisiasa!
Nani amekuambia ninatumia jina la bandia?Hasira za wapi wewe mpotoshaji?
Tundu Lissu is calm and efficient speaker as always...
Wewe unasumbuliwa na "wivu" kwa Tundu Lissu kwa sbb anamzidi baba yenu Mwendazake kwa yote...
Kama unataka cheo fulani kwa Mama Samia labda ukatibu tarafa au ukatibu kata, andika kwa jina lako halisi...
Kwa sasa, utashindwa kuonekana kwa sababu unatumia jina bandia na hivyo fursa za uteuzi zitakuwa zinakuepa tu...
Maana mwanangu si kwa majungu, propaganda na upotoshaji unaoufanya..
Unamwabudu Magufuli?Mmoja ameongea kwa hasira sana kila anapolitaja jina la hayati Magufuli!
Hata wewe huna fikra? Chuki inakunyima kufikirikuna tofauti kubwa kati ya proff.na mropokaji na mganga njaa wa Ubelgiji.
Weka ushahidiMahojiano Yamemvua Nguo Bw.Lissu.
Nani amekuambia ninatumia jina la bandia?
PLO Lumumba amesema hasira zitamfanya Tundu Lisu apoteze wafuasi na kubakia na mashabiki wepesi kama wewe ambaye hata mchango wa kumtoa jela Yericko Nyerere hujachanga!
Blaza ukinipa ushahidi wa Freeman kusoma UDSM nakunya kuanzia ubungo mpaka mwenyeKwani kusoma udsm ndio nini?
Mbona hata Freeman alisoma pale.
James Mbatia alisoma pale.
Lakini kwenye vv zao hawasemi.
Mwingine amezidisha mahaba kila anapolitaja jina la marehemu meko!Mmoja ameongea kwa hasira sana kila anapolitaja jina la hayati Magufuli!
Ungekuwa wewe kwenye nafasi yake ungeongea kwa mahaba kulitaja jina hilo?Mmoja ameongea kwa hasira sana kila anapolitaja jina la hayati Magufuli!
Mataga wamekuwa kama mbwa koko wanachoweza ni kubweka bweka tuPana katabia ka MATAGA kakupotosha vichwa vya habari wakiamini kuwa wengi wanasoma vichwa habari na kuanza kutema comment s tu.
Kama hawa hapa:
CHADEMA wamesema hawatoshiriki katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Muhambwe
Chama cha CHADEMA kimesema hakitashiriki uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Muhambwe lililopo wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma. Jimbo la Muhambwe liko wazi baada ya aliyekuwa mbunge Atashasta Nditiye kufariki dunia Februari 12, 2021 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma alikokuwa...www.jamiiforums.com
Kichwa na contents tofauti.
Umefuata nini katika uzi huu? Basi wewe utakuwa chizi kabisaaaaaLisu ni mgonjwa wa akili hamna anayemfatilia.
Huyu mbwiga akishalewa mipombe michafu anajiropokea tu.Wewe ndiyo ulipandisha uzi wa kutunga uongo
Mungu fundi kweli kweliAliyemjeruhi katangulia ahera. Mambo hayoo!