Upotoshwaji wa mazungumzo ya PLO Lumumba, Lissu - VoA


Hayo ni maoni yako. Ustaarabu ni kuheshimu maoni ya watu wengine hata kama hukubaliani nao.

Huyu bwana akiongea media yote inayo mhofia bwana yule akiwa hai au akiwa mfu hutafuta sababu za kutoonyesha anasema nini.

Huyu bwana ana wafuasi wengi sana wenye machungu naye ya dhati kama mtanzania na kama mwuungwana aliyetaka kuuwawa bila sababu na watu ambao wakifa leo kutafanyika sherehe.

Huyu bwana ni mshirika wa wengi katika kupambana na udhalimu yakiwamo: ukiukaji wa haki za binadamu, kudai katiba mpya, kudai utawala wa sheria na katiba, kudai haki ya watu kuishi ikiwamo kudai mapambano ya dhati dhidi ya Corona, nk.

Ni vizuri ukatambua huyu bwana ana wafuasi wengi sana na hata uchaguzi 2020 aliibiwa.
 
Tuendelee kusherekea vifurushi vipya. Mi5 Tena [emoji123]
 
Mtakuwa na machungu sana kuwa upotoshaji mliokuwa mmejipanga nao kuhusiana na mazungumzo haya umeporomoka mithili ya gunia tupu.

Ama kweri gunia tupu halisimami!

Hiiiiii!
Hivi ulisikiliza mahojiano au ulisimuliwa?kweli hata wajinga nao wanazeeka
 
Hivi ulisikiliza mahojiano au ulisimuliwa?kweli hata wajinga nao wanazeeka

Pana links 2 zina video attached. Bado unauliza utopolo huu unaouliza?

Hamuwezi kuelimika mamburula nyie hata kama mtakaa kutambika!

Ni wazi kuwa uliyesimuliwa ni wewe. Na ni kweri kuwa mjinga wewe sasa hivi umezeeka kweri kweri!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kweeeriiiiiiii
 

Naheshimu mawazo yako na nakubaliana na ulichofafanua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…