Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakaa kuandika maneno ya kujifariji tu hawa,upperhill inakalishwa na posta kwa umbali kabisa...![]()
The said (section of) Upper hill Vs The section of Posta mpya with photo taken 3years ago...
![]()
Sandton unaifaham kwa undani wake lakini kijana. ...This thread should've read 'Nairobi's Upperhill giving Sandton a run for it's money'. That's more practical and true.
Jamaa anapost Kenya ikiwa 2014Wanakaa kuandika maneno ya kujifariji tu hawa,upperhill inakalishwa na posta kwa umbali kabisa...
nyang'au ni Nyang'au tu daima
Mind explaining Why 3years after completion pspf and tpa are still empty ?Wanakaa kuandika maneno ya kujifariji tu hawa,upperhill inakalishwa na posta kwa umbali kabisa...
nyang'au ni Nyang'au tu daima
Mnaona nyie watoto mnavyopenda kujisifu kwa visivyokuwepoGrade A offices only in Kenya and South Africa na tukisema ki-inchi fulani blessed with many resources and nothing to show for it except for LDC status, tunatukanwa na kujaziwa povu section yetu ya JF na hawa wenye wivu wa Kike.
Tusipojisifu who will?Mnaona nyie watoto mnavyopenda kujisifu kwa visivyokuwepo