Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Upungufu wa fedha za kutosha NHIF ndiyo chanzo kikubwa cha migogoro NHIF , hiki ndicho husababisha
Hizi sababu za kukopeshana ili kuboresha maisha ya watumishi ,ufisadi hata hizo pesa zikirudi Mfuko hauwezi kujisimamia na cha zikaisha
Serikali iangalie utaaratibu wa kuongezea mfuko fedha ili uweze kujiendesha au mfuko ufungue miradi kama benki na n.k itakayo wezesha fedha kuongezeka .
Karibu sana NHIF waziri jenista Mhagama
>>Baadhi ya huduma kutolipiwa na mfuko
>>Hospitali kukatwa au kutolipwa madai yao kwa wakati
>>Hospitali kulipwa na kukatwa fedha kwa sababu sisizo za msingi hivyo kufanya huduma inayotolewa isiridhishe
>>NHIF kuwa na bei ndogo sana ya gharama ya huduma zao hii inapelewa wamiliki wa vituo kwenda options cheap kukizi matakwa ya mfuko au kutotoa hizo huduma