Kwako maadili ni kuungana na watesi wa taifa hili na kudunisha imani?Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utashuhidia lugha chafu zisizo na staha pamoja na matusi mazito ya nguoni.
Hii ni ishara ya kuwa ushawishi wa taasisi zetu za dini kwa jamii umeshuka sana na upo ICU.
Ina maana watoto hawana mafunzo ya chuo(madrasa) au mafundisho na hivyo hawaoni kutenda dhambi kama ni tatizo.
Kwenda kanisani na msikitini imebaki kama fashion tu na hakuna la maana wanalopata au kutoka nalo wanajamii kutoka hizi nyumba za ibada.
Viongozi wa dini wameiangukia siasa na kusahau role yao katika jamii.
Kwa muelekeo huu Familia zina wajibu wa kipekee kuitengeneza jamii wakati huu kuliko wakati mwingine.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utashuhidia lugha chafu zisizo na staha pamoja na matusi mazito ya nguoni.
Hii ni ishara ya kuwa ushawishi wa taasisi zetu za dini kwa jamii umeshuka sana na upo ICU.
Ina maana watoto hawana mafunzo ya chuo(madrasa) au mafundisho na hivyo hawaoni kutenda dhambi kama ni tatizo.
Kwenda kanisani na msikitini imebaki kama fashion tu na hakuna la maana wanalopata au kutoka nalo wanajamii kutoka hizi nyumba za ibada.
Viongozi wa dini wameiangukia siasa na kusahau role yao katika jamii.
Kwa muelekeo huu Familia zina wajibu wa kipekee kuitengeneza jamii wakati huu kuliko wakati mwingine.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Umeosoma mada na kuielewa?Mbona unaongelea vitu vilivyo nje ya mada?Jana ulifikisha target ya kuleta nyuzi uliopewa? Na je huyo anayekupangia score za target amerdhika na matokeo tarajiwa? Maana siku hizi chache umejaza severs za JF Ili kumridhisha bwana Ako anaekueka mjini.
Halafu kuwa mkali hata kiunafki basi hao viongozi wakata vichwa vya watu mnaowasapoti waziwazi huko mitandaoni.
umeitendea haki mada hii Mtu wa MunguTaasisi za dini sio chanzo cha Imani safi,matokeo ya Imani safi ni mahusiano binafsi ya mtu na Mungu, na hofu ya kujitenga na uovu na hofu za Mungu katika maisha ya mtu.
Yakobo 1: 27
Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu.
Watu wa dini wapo bize na siasa,hata maadili Yao wao yamewashindaUkiingia kwenye mitandao ya kijamii utashuhidia lugha chafu zisizo na staha pamoja na matusi mazito ya nguoni.