SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,929
Pia Makete KONDOMU zimeadimika sana. Tunaomba DPP, DCI na TAKUKURU muingilie kati. Tumeni timu ya uchunguzi.Jamani huku kwetu kuna upungufu WA nyanya na hoho tafadhali DPP ingilia Kati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia Makete KONDOMU zimeadimika sana. Tunaomba DPP, DCI na TAKUKURU muingilie kati. Tumeni timu ya uchunguzi.Jamani huku kwetu kuna upungufu WA nyanya na hoho tafadhali DPP ingilia Kati.
Huko ni kuongoza nchi kipumbavu sijawahi kuona. Hatujajifunza matokeo ya ujinga kama huu kweli?Mnamo miaka ya mwishoni ya 1970 na mwanzoni mwa 1980 nasikia ilitokea shortage ya cement ilibidi Mwalimu Nyerere mwenyewe atume wachunguzi CIDs maeneo ya viwandani wakaenda kuishi kabisa kama watu wa kawaida kwenye kotaz za saruji na kufanyia kazi pale kituo cha polisi lakini wakiwa katika muonekano wa askari kanzu.
Yani ilibidi mwalimu aingilie kati na taarifa ilipelekwa kwake moja kwa moja kupitia kwa DCI
Nchi inaongozwa na washamba waliozoea kuswaga ng'ombe na wanadhani kila kitu ni kutumia bakora kama wanavyoswaga wanyama!Hoja ya Msingi ni ukosefu & upungufu & Kuongezeka kwa bei ya saruji Nchini na umuhimu wa kufanya uchunguzi wakina ili kubaini tatizo
Suala la Itifaki kwenye uandishi au utoaji maelekezo sio hoja ya Msingi
Hongera Serikali kwa kuchukua hatua stahiki kwa Maslahi ya Umma.
Ukimsikiliza yule kabudi af ukiambiwa ni prof. Unapata mashaka sana na elimu yetu .msikilize dr. Bashiru Ally akipayuka unashangaaaWelcome to Tanzania.
Hivi wasomi wetu hawa walisoma shule hizi hizi tulizosoma na sisi?
Umri wako na elimu yako tafadhari? Je unaishi Tanzania au upo Alaska? Huwajuhi wafanyabiashara wa Tanzania wewe...nimekuuliza umri maana angalau kwa wale wenzangu na mimi tunakumbuka Opresheni Wahujumu na Walanguzi ya Hayati Sokoine....hujuma kwa wafanyabiashara wa Tanzania ni kama uji na mgonjwa!Hakuna mfanyabiashara au mzalishaji awezeae kufanya hujuma ya kuficha bidhaa na aache pesa. Haya ni mawazo ya wajamaa washindwapo mambo ukimbizia lawama kwa wengine. Ni sawa na kuwalaumu wakoloni dhidi ya kushindwa kwetu kujiletea maendeleo
Wafanyabiashara wa Sasa sio wale wa zamani.Umri wako na elimu yako tafadhari? Je unaishi Tanzania au upo Alaska? Huwajuhi wafanyabiashara wa Tanzania wewe...nimekuuliza umri maana angalau kwa wale wenzangu na mimi tunakumbuka Opresheni Wahujumu na Walanguzi ya Hayati Sokoine....hujuma kwa wafanyabiashara wa Tanzania ni kama uji na mgonjwa!
"I have noted jump"
Hii lugha hiii
Basi sawa
Kwanini asinge andika kiswahili tuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu unadhani ili la uchunguzi wa kijinai, kwenye Mambo ya biashara,ambapo mlishaji sokoni anategemea malighafi za kuzalisha hicho amezipata kwa gharama gani itasaidia Sana,? Vipo vitu wenda vikawa vidogo na haviitaji tumia nguvu ,why serikali isiitishe kikao na wazalishaji wote wa cement, wenda unaweza kuta kutokana na corona baadhi ya malighafi toka nje zimepanda ,labda na tozo za malighafi hizo hapa nchini zikawa sio rafiki so ukikaa nao zipo changamoto zinawezatatuliwa kwa arakaSijajua itifaki kama itakuwa imezingatiwa au la lakini juu ya yote wanachotaka kukufanya kuhusu huo uchunguzi wako sahihi kabisa wacha ufanyike maana vifaa vya ujenzi bei zimepaa sana kuliko maelezo!
Sasa baada ya uchunguzi taarifa ikishatolewa inajulikana kama ni uhujumu uchumi au la ulanguzi, magendo, n.k
kama kuna mengineyo yenye sababu za msingi itajulikana na hatua stahiki kuchukuliwa.
Mkuu unakumbuka uchakachuaji wa mafuta...hadi mafuta ya taa yakapandishwa bei karibia na petroli, majuzi tu hapa! Jana nimenunua kifaa cha milion 1 nimepewa risiti ya sh laki moja naambiwa nikitaka risiti halali malipo yataongezeka!Wafanyabiashara wa Sasa sio wale wa zamani.
Serikali Ina nguvu ni aibu kukimbizana na wafanyabiashara.Ichukulie Kama uzalishaji ndio ndogo itoke kibali cha kuagiza nje
Chukua risiti halali kwa usalama wako hicho kifaa kama ni kibovu kitakula kwakoMkuu unakumbuka uchakachuaji wa mafuta...hadi mafuta ya taa yakapandishwa bei karibia na petroli, majuzi tu hapa! Jana nimenunua kifaa cha milion 1 nimepewa risiti ya sh laki moja naambiwa nikitaka risiti halali malipo yataongezeka!
The main reason to cement price hikes is a temporary problem of under production to demand. The cement production facilities are under normal annual maintenance. There is no need for legal intervention. It is a wastage of time. Heri DPP ashughulikie kesi za watu wanaoozea mahabusu bila kufikishwa mahakamani kuliko kupambana na nguvu ya soko la saruji. The market is self-regulating under the law of supply and demand.The Director of Public Prosecutions (DPP), Mr Biswalo Mganga, has ordered a criminal investigation into the reported shortage of cement and other construction materials in the country.
Mr Mganga directed the Director of Criminal Investigations (DCI) and the Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) to launch the probe into the cement production and distribution value chain.
The DPP gave the agencies 30 days within which to complete the investigation and report back with findings to enable his office to take appropriate action.
“Over the last one month I have noted a jump in the price of cement and other construction materials across different regions in the country. Circumstances around this matter point to an act of criminality in the entire production, transportation and marketing value chain, leading to higher prices, shortages or lack of these products in certain areas,” said Mr Mganga.
He said those found engaging in the malpractice will be charged and could face between 20 and 30 years in jail and confiscation of their products by the State.
The DPP said it was against the law and an act of economic sabotage for the dealers who will be found to have sabotaged or influenced any wheeler-dealings. He reminded that it was against The Economic and Organised Crime Control Act for traders to hoard products, sell them illegally and above normal price, manipulate or distort the market for a profiteering motive, including creating what he said was an artificial shortage of mass consumer products.
Mr Biswalo’s intervention was the latest in attempts by the government to tackle the jump in cement prices and reported shortage of the product and related construction materials. The Fair Competition Commission confirmed a week ago that it was also investigating the same issue for any possible collusion.
Prime Minister Kassim Majaliwa also directed regional commissioners across the country to look into the problem and report back reasons why there has been a sudden jump in the price of cement. The newly sworn in premier said there had not been any justification for the hike in the prices.
The regional commissioners have in the last week been holding talks with cement producers and stockists in their areas while some have ordered market crackdowns to check the traders. However, there has been no immediate reflection in the availability of the product or a reduction of the cost as yet.
Reports suggest demand for industrial cement was unusually high as government implements mega construction projects across the country. Some factories have agreed to increase production to check the price increases by unscrupulous traders taking advantage.
The ministry of Trade and Industry was reported this week blaming the recent high cement prices on non-production by four main cement manufacturers in the country that had gone into maintenance.
There was a hue and cry from the public when a 50kg bag of cement retailing at Sh15,000 jumped by up to 30 percent. According to the National Bureau of Statistics data for October, 2020, the price for the same quantity had of cement had risen to Sh22,000 in parts of the country.
Permanent Secretary Riziki Shemdoe told The EastAfrican that “some cement manufacturers had stopped production for a short term programme, which then paved the way for thorough maintenance of machines, and this lead to stopping production for a while.”
This affected supply, which dropped to 150,000 tonnes for October, compared with 450,000 tonnes supplied to the market in the past two previous months. The four main cement manufacturers are Twiga Cement in Dar es Salaam, Tanga Cement, Mbeya Cement and Dangote Cement in Mtwara Region.
Twiga, the leading cement manufacturer with a capacity of 700,000 tonnes annually, is sagging under the demand, including by importers from neighbouring Rwanda and Burundi, which largely depend on Tanzanian cement.
Nahisi tatizo lipo katika uzalishaji.Viwanda vimepunguza uzalishaji sababu vinajiendeshe kwa hasara.Huenda mali ghafi zimepanda beiNdiyo maana wanafanya Uchunguzi ili kujua uzalishaji na Soko vinaendana!? ua Nani anamuelemea mwenzake! Report itasema hayo yote!!
Nami nawashangaa. Yaani hawajui A,B,C za dhana la soko huria - "Supply and demand relationship?"Welcome to Tanzania.
Hivi wasomi wetu hawa walisoma shule hizi hizi tulizosoma na sisi?