Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kesi za uhujumu uchumi zitaanza kutamalaki!Wanatafuta sababu ya kuwala wenye viwanda hela yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi za uhujumu uchumi zitaanza kutamalaki!Wanatafuta sababu ya kuwala wenye viwanda hela yao
Anaitwa Bulldozer 😁😂Kutumia nguvu zaidi kuliko akili
Wajinga bado mko wengi siku hizi mmebatizwa jina wanyonge ungekuwa unamiliki biashara hata ya genge ukajua watu wanavyoumizwa na hilo li selekale usingeandika huu ujinha
Kwa sasa wanatafuta chanzo cha mapato kwa njia hiyoKesi za uhujumu uchumi zitaanza kutamalaki!
Vita vya uchumi ni ngumu isije kuwa hujumaHilo Sijajua Kama Watalitazama
Mabeberu HawatupendiVita vya uchumi ni ngumu isije kuwa hujuma
Jirani kumbe upo mweupe kwenye lugha ya malikia" DPP directed DCI"......hiyo itifaki sijaelewa labda mnitafsirie kwa kiswahili.
Msaada tutani Tafadhali!
Wana vyeti fake!Anaitwa Bulldozer [emoji16][emoji23]
Ndiyo maana wanafanya Uchunguzi ili kujua uzalishaji na Soko vinaendana!? ua Nani anamuelemea mwenzake! Report itasema hayo yote!!Waanze na kuhakiki mlinganyo wa supply and demand ya saruji
Mbona unaogopa sana Matajiri!? Hao pia ni Binaadamu na wanamatamanio pia,lolote lile linawezekana,acha vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vifanye kazi yao,navyo vikilala Wananchi tutaumizana sana, maana kila mtu anataka kua tajiri!!Wanatafuta sababu ya kuwala wenye viwanda hela yao
Msamahee bure naona hajui Nini maana Serekali kuwepo Nchini na Majukumu yake!!Hebu rudia kusoma ulichoandika halafu uandike tena hoja au mantiki ya ulichokusudia kuandika ili watu wakuelewe!
Usipende kulaumu laumu kila kitu , tatizo limejitokeza la vifaa vya ujenzi bei kupaa juu sana, uchunguzi umeagizwa kufanyika ili kubaini sababu zilizopelekea tatizo hilo kutokea sasa bado unalaumu ?
Wauzaji wa vifaa hivyo wamekuwa wakidai wao hawajapandisha bei hata centi moja lakini mitaani bei ya bidhaa hizo haishikiki kwa wananchi!
Cement , Nondo , mabati n.k zimeadimika na bei kupanda kubwa sana .
Sasa Uchunguzi umeagizwa kufanyika wewe unalaumu ?
Jitafakali kwanza kabla ya kulaumu wengine na kuleta ujuaji!