Upungufu wa Saruji: Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) aagiza uchunguzi wa kijinai kufanyika

Upungufu wa Saruji: Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) aagiza uchunguzi wa kijinai kufanyika

Wajinga bado mko wengi siku hizi mmebatizwa jina wanyonge ungekuwa unamiliki biashara hata ya genge ukajua watu wanavyoumizwa na hilo li selekale usingeandika huu ujinha

Hebu rudia kusoma ulichoandika halafu uandike tena hoja au mantiki ya ulichokusudia kuandika ili watu wakuelewe!

Usipende kulaumu laumu kila kitu , tatizo limejitokeza la vifaa vya ujenzi bei kupaa juu sana, uchunguzi umeagizwa kufanyika ili kubaini sababu zilizopelekea tatizo hilo kutokea sasa bado unalaumu ?

Wauzaji wa vifaa hivyo wamekuwa wakidai wao hawajapandisha bei hata centi moja lakini mitaani bei ya bidhaa hizo haishikiki kwa wananchi!

Cement , Nondo , mabati n.k zimeadimika na bei kupanda kubwa sana .

Sasa Uchunguzi umeagizwa kufanyika wewe unalaumu ?

Jitafakali kwanza kabla ya kulaumu wengine na kuleta ujuaji!
 
Kjnachofanyika kwa Sasa kwenye cement Ni HUJUMA.kuna twiga,dangote,camel, diamond,Kilimanjaro,nyati lakini cement HAIPATIKANI.hii ndo ukicheka na nyani...
Mimi Nina miezi 2 sijashika cement dukani kwetu.
 
Anaitwa Bulldozer [emoji16][emoji23]
Wana vyeti fake!
10909876.jpg
 
Ktk bidhaa za ujenzi Tz tumejitoa kuamini uwepo wa corona.. Bati nyeupe hadi sahizi ni kiboko pekee ndo anazalisha serikari inategemea bei itabaki ileile! Uje kwenye bidhaa za chuma wapi zinatoka kuja nchini?

Wafanyabiashara wanateseka kupata hizi bidhaa tena kwa foleni lakini serikali inamwona mjinai
 
Sema kwa ufanisi zaidi huo uchunguzi ili uweze kuleta taarifa sahihi haupaswi kufanya na watu wa kada ya polisi pekee!

Inapaswa kuwa multi discipline teams !

Though uwiano wa polisi unaweza kuzidi lakini kunapswa kuwepo na mtu mbobezi wa masuala ya Kodi, Uchumi mbobezi (Public Practionaire) Mwakilishi wa wafanyanyabiashara mfano yule Bwana Onyango, mwakilishi wa mawakala wakubwa wa cement, n.k
 
Waanze na kuhakiki mlinganyo wa supply and demand ya saruji
Ndiyo maana wanafanya Uchunguzi ili kujua uzalishaji na Soko vinaendana!? ua Nani anamuelemea mwenzake! Report itasema hayo yote!!
 
Wanatafuta sababu ya kuwala wenye viwanda hela yao
Mbona unaogopa sana Matajiri!? Hao pia ni Binaadamu na wanamatamanio pia,lolote lile linawezekana,acha vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vifanye kazi yao,navyo vikilala Wananchi tutaumizana sana, maana kila mtu anataka kua tajiri!!
 
Hebu rudia kusoma ulichoandika halafu uandike tena hoja au mantiki ya ulichokusudia kuandika ili watu wakuelewe!

Usipende kulaumu laumu kila kitu , tatizo limejitokeza la vifaa vya ujenzi bei kupaa juu sana, uchunguzi umeagizwa kufanyika ili kubaini sababu zilizopelekea tatizo hilo kutokea sasa bado unalaumu ?

Wauzaji wa vifaa hivyo wamekuwa wakidai wao hawajapandisha bei hata centi moja lakini mitaani bei ya bidhaa hizo haishikiki kwa wananchi!

Cement , Nondo , mabati n.k zimeadimika na bei kupanda kubwa sana .

Sasa Uchunguzi umeagizwa kufanyika wewe unalaumu ?

Jitafakali kwanza kabla ya kulaumu wengine na kuleta ujuaji!
Msamahee bure naona hajui Nini maana Serekali kuwepo Nchini na Majukumu yake!!
 
Back
Top Bottom