27 November 2020
Malighafi clinker inayotumika kutengeneza saruji yawasili Tanga
Meli to UAE yenye tani 55,000 za clinker malighafi muhimu katika uzalishaji wa saruji viwandani yawasili ktk bandari ya Tanga.
Tani hizo zinashushwa mbali kidogo kisha kutumia matishari kuyafikisha bandarini. Umbali wa kutia nanga wa meli umepungua baada ya kina cha bandari kuongezeka ila bado gati la kupaki meli mradi wake wa ujenzi unaendelea.
Source : millard ayo
More info:
Soma umuhimu wa clicker:

simbacement.co.tz › clinker
Clinker - Tanga Cement PLC
The cost of production of cement was negatively impacted by expensive clinker imports, which will no longer be the case after the commissioning of the Tanga Kiln 2 ...
Limited clinker production capacity resulted in the importation of large volumes of ... upungufu huo, serikali iliondoa kwa muda ushuru wa forodha wa saruji