njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Nimeona taarifa kwamba makocha 100 wametuma cv ,99 ni kutoka europe na south america, mmoja tu wa Afrika na hajakidhi vigezo
Hivi nyie viongozi wa simba mnadhani kwa nini walioko Afrika hawajatuma cv? wanajua shobo zenu kwa wazungu, mko radhi mumpe kazi mtu ambaye hajui soka la afika wala viwanja vya huku vilivyo vinafanana na majaruba ya mpunga nyie mnajiokotea tu
Si last time yule mzee aliyekuwa kocha wa Horoya ya guinea alituma cv mkamchukua pablo? mnataka atume tena mumdhalilishe? mpigieni simu
Siyo lazima makocha wazuri watume cv kama mnawajua wapigieni simu tu watakuja,
HATUTAKI TENA STORY ZA MAKOCHA WATAOKAOKUJA WAANZE KULALAMIKIA USAFIRI NA VIWANJA VIBOVU VYA CCM leteni waafrika waliozoea mazingira ya kiafrika