simba iwe na kocha atajayejenga mfumo....
hivi mambo ya kufikiri semi final , final....
itafikia kocha kila mwaka.
pawe na umakini wa kuteua kocha ...ifanyike screening ya kutosha. Wazoefu wa scouting watumike. CV pekee isiwe kigezo pekee...Simba ijenge mfumo wa kiufundi, quarter ,semis ,final zitakuja ...
Liverpool, man city , Chelsea, zinakwama ktk quarters na semis lakini Gurdiola, Klopl, Tuchel wananza tena ..wanarudi wanarudi. ku - lose ktk.msimu haimaanishi kocha hawezi kufanya come back next season. Naamini kuna makocha wangeendelea kubaki simba ...tunaongeza tu na kupunguza wachezaji , timu ingekuwa tayari ina combinations ya kiushindani