Upuuzi: Simba wanaenda kurudia kosa lilelile kwa makocha

Tuliza mzuka wakwetu,huyo mmoja ambaye hajatuma CV ni Profesa Nabi, nafikiri utaelewa kwa nini hakutuma CV yake
 
Mleta mada ana hasira hadi "Afrika "anaita "Afika"😂
Utadhani baba mkali (mbogo) halafu mwenye kigugumizi ametoka kazini, kazini kwenyewe mambo yawe magumu halafu kuna mtu kamchanganya huko, afike nyumbani atengewe wali halafu wife amletee pigo za kipuuzi akiwa bado anakula wali wake...vile anafoka😂😂😂😂

Huambulii Hata neno 1, unachoona ni wali tu unafurumia mdomoni 😂😂😂😂😂😂
 
kwa hiyo comment yako yooote ime base kwenye TYPO moja iliyokosewa neno R?
 
Wewe utakuwa umetumwa na Mwina Kaduguda, Hamis Kigwangala, au Kassim Dewji kuvuruga mchakato wa kupata kocha bora kabisa kutoka Yuropu!

Na kwa taarifa yako mashabiki wa simba safari hii tunamtaka kocha aliyewahi kufundisha Bayern Munich ya Ujerumani, ili aje atupe ubingwa wa Afrika! Hizo mambo zako za kocha kutoka Afrika peleka Azam huko! Usitupangie.
 
hatujafikia uwezo wa kuajiri hao. Na hao wa ulaya ni cheap cz nao watafuta majina.uzoefu
Well done ni kweli hao ni cheap maana bado wanataka jaza cv zao. Sasa kama wanajaza cv kwa nini msiwape waafrica tuu wajaze cv zao....hapo mie naona tunakosea.

Yaani tunawapa hela na experience alafu sie tunaishi kununua majonzi tuu
 
Well done ni kweli hao ni cheap maana bado wanataka jaza cv zao. Sasa kama wanajaza cv kwa nini msiwape waafrica tuu wajaze cv zao....hapo mie naona tunakosea.

Yaani tunawapa hela na experience alafu sie tunaishi kununua majonzi tuu
hahahahaha. Makocha waki afrika labda wa kutoka kaskazini mwa afrika.westen .central bd.sourth kdg lkn nao bei
 
simba iwe na kocha atajayejenga mfumo....
hivi mambo ya kufikiri semi final , final....
itafikia kocha kila mwaka.
pawe na umakini wa kuteua kocha ...ifanyike screening ya kutosha. Wazoefu wa scouting watumike. CV pekee isiwe kigezo pekee...Simba ijenge mfumo wa kiufundi, quarter ,semis ,final zitakuja ...
Liverpool, man city , Chelsea, zinakwama ktk quarters na semis lakini Gurdiola, Klopl, Tuchel wananza tena ..wanarudi wanarudi. ku - lose ktk.msimu haimaanishi kocha hawezi kufanya come back next season. Naamini kuna makocha wangeendelea kubaki simba ...tunaongeza tu na kupunguza wachezaji , timu ingekuwa tayari ina combinations ya kiushindani
 
Say no more. 👍
 
Hata wangetuma CV za makocha 5000 kinachomata n performance ya uwanjani viongoz wa simba acheni propaganda hatuhitaji CV uchwara tunahitaji kocha wa kiafrika anaelijua soka letu
 
ili ujenge mfumo wa kiufundi ktk soka hasa la klabu.inatakiwa uwe na mtu wa TD (technical director ) ktk timu huyu ndo bosi wa ufundi.anajua ana wachezaji gani.aje kocha gani.aongeze nani.ndie anayepokea ripoti ya kocha na kuifanyia kazi.

chakushangaza timu zetu tajiri za bongo hazina huyo mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…