kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Yanga ni washamba kundi kubwa halina elimu (makomandoo, wanachama na mashabiki wao. Ushirikina Mzee mpili, Magoma na wazee wote Yanga)
Ushhamba (Ali Kamwe, Manara, Hersi na Privaldinho), utoto na upuuzi mwingi Arafat, Hersi na wengine wengine wanaosapoti ujinga)
Leo kwa aibu wanang'ang'ania kupeleka timu uwanjani hakuna marefa wa uongozi wa mpira ila kwa kuwa walio nyuma yao akili zilikwenda na supu mapungazeze yatakuwa yanafurahia kama timu mwenyeji kwani watu wangefanya mazoezi tatizo lingekuwa nini nanyi mnasajili kwa pesa nyingi bado mpo na imani za kishirikina walikuja basi mbili ni zao sisi tuliobarikiwa kuangalia mechi nje za nchi timu zinaingia viwanjani kufanya mazoezi na basi mbili siku moja kabla ya game...
Hapa yanga wanafanya utoto sijui kwanza mambo haya yalianza lini simba na Yanga zina miaka mingi kwenye historia ya soka lakini safari hii Yanga inaongozwa na viongozi wapuuzi kuliko kupata kutokea