Upuuzi, ushamba, kuamini watu wasio na elimu, utoto na imani za kishirikina zimeigharimu Yanga

Ngoja kesi iende Fifa ndo tutajua haki ilipo
 
Sasa eti washauri wa clabu ni Ali Makundi,mzungu pori,Kitenge chini ya ishauri wa mwanasheria wao ambaye hajawahi kushinda kesi. Klabu itashindwa kesi zote
Yanga iachane na hao machawa
 
Hawakufanya utoto huo ni uhalisia kwamba walijiandaa tatizo ni bodi ya Ligi Ndiyo Hamna kitu watu wenye akili wanatumia udhaifu wa bodi ya Ligi kujinufaisha kwakufanya maamuzi ya kipuuzi kwa masilahi binafsi yatakayo kidhi matakwa yao

Bodi ya Ligi ya Tanzania haina uwezo wa kutatua migogoro na malalamiko kwa Wakati, (at desired time), mapuuza ya kukataa kuhojiwa yanaanza kwenye ngazi ya familia

Mapuuza ya kukataa kuhojiwa limebebwa kwenye ngazi zote za maisha, iwe mashuleni, makanisani, vyuoni, kwenye vyama vya siasa, bungeni Ndiyo usiseme

Kama bodi ya Ligi Ina uwezo kwanini isitatue migogoro ndani ya saa moja pia TFF hawana uwezo wanaendesha Ligi kama familia, (slow doer) wanafanya maamuzi kwakusikilizia

Kwa uwezo mdogo wa bodi ya Ligi ya Tanzania kushindwa kusimamia kanuni zilizopo kwa uwezo wao mdogo wa kufikiri sitashangaa endapo yanga sc hawatapeleka timu uwanjani kwa ratiba itakayo pangwa hapo baadae

Swali fikirishi hivi mvua kubwa ingeli nyesha uwanja kwa Mkapa Simba wangelifanya mazoezi? Jibu hapana na timu kesho yake ingelikuja kucheza

Kuhusu athali za kibiashara kwenye uwanja wa taifa itakuwa kubwa kwa hapo baadae wengi hawatakuwa wanasafiri umbali mrefu kuja kuziunga mkono timu zao

Hitimisho bodi ya Ligi ivunjwe kwanini ivunjwe kwasababu inashindwa kuwajibika kwa Wakati Hata hivyo kawnini hawana utaratibu wa kuwepo uwanjani, (eneo la tukio), bodi ya Ligi Tanzania Ndiyo inafanya utoto kwakushindwa kusimamia kanuni zilizopo
 
Acha mihemko isikilize nafsi yako inakwambia nini ukiachana na ushabiki wako mandazi, utaskia inakwambia “ Simba kakimbia mechi” hayo mengine ni ujanja ujanja tu, tena ni ujanja wa kizamani sana, Unyoya FC.
 
Jambo msiloliiubali ni kwamba wale sio yanga,Mechi imeahirishwa,watu wamepata hasara,Nchi imejiabisha,watu wamebaki kujadili na kubishana tu.NA HAKUNA ATAKAEPATA POINTI ZOZOTE NA MSIPOIRUDIA MECHI ITAHESABIKA KAMA SULUHU.AU HAIKUWEPO.Jambo kubwa kuliko yote mechi imeahirishwa.
 
Unajichosha kuongea na Mtu asiyejitambua. Sitaki Usimba na Uyanga maana sijawahi kuwa. Lakini tafuta maandiko yake ya kisiasa ndo utajua anaowalaumu hawana elimu na yeye Yuko kundi Hilo Hilo. Huyu ni mburula na kichwani ni mweupe peee!
 
Jana ndio nimeendelea kuona ujinga wa huyo Meneja wa uwanja...juzi aliwakatalia Simba kuingiia uwanjani lakini jana licha ya kutangazwa kwamba mechi hakuna sijui alipata wapi kibri cha kufungua uwanja na kuruhusu watu kuingia uwanjani.
 
Jana ndio nimeendelea kuona ujinga wa huyo Meneja wa uwanja...juzi aliwakatalia Simba kuingiia uwanjani lakini jana licha ya kutangazwa kwamba mechi hakuna sijui alipata wapi kibri cha kufungua uwanja na kuruhusu watu kuingia uwanjani.
Huyo ni mpuuzi mmoja wa kupokea vibahasha na kuramba matako ya wale wapuuzi wenzie!
 
Acha mihemko isikilize nafsi yako inakwambia nini ukiachana na ushabiki wako mandazi, utaskia inakwambia “ Simba kakimbia mechi” hayo mengine ni ujanja ujanja tu, tena ni ujanja wa kizamani sana, Unyoya FC.
Ukiachana na hayo mawazo yako mgando utagundua yanga ni wapuuzi na utoto ushirikina!
 
Umenena vyema turudi nini kilichosababisha uhuni huu ukiendelea kuwachwa na vilabu husika viongozi wao wakiendelea kufumbia macho matukio kama haya kaa ukijua wale wahuni hawa kujiokoteza tu walikua na baraka zote toka viongozi wao kuwa wanakwenda kufanya upuuzi...kwa kibri wakaawacha kwa kujua wameshazoea kuwanyanyasa timu toka mikoani hakuna lolote.... matokeo yake wamekutana na wapuuzi wenzao ngoma imekua droo....ipo siku uhuni huu watakuja wafungia viongozi wao wacha wachekewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…