Upuuzi, ushamba, kuamini watu wasio na elimu, utoto na imani za kishirikina zimeigharimu Yanga

Unajichosha kuongea na Mtu asiyejitambua. Sitaki Usimba na Uyanga maana sijawahi kuwa. Lakini tafuta maandiko yake ya kisiasa ndo utajua anaowalaumu hawana elimu na yeye Yuko kundi Hilo Hilo. Huyu ni mburula na kichwani ni mweupe peee!
Mnapenda kusikia maneno matamu na kufuata upuuzi unao waza wewe mimi sifagilii mbuzi makende wala nidhamu ya woga!
 
SUPU ZA VIBUDU HAZIJAWAI KUMUACHA MTU TIMAMU KICHWANI.
MASHABIKI WA UANGA AKILI ZAO WOTE SAWA,HAIJALISHI AWE AMESOMA AU MUUZA NGUO KARUME AU WAZIRI WOTE HAMNAZO 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆
 
Haji manara alimaliza wenye akili ni wawili tu!
 
Utoto umefanywa na kola na mtandao wao
 
Simba kumejaa mambumbumbu!!
Kanuni inasema wafanye mazoezi kabla ya siku ya mechi! Wao wameenda kufanya mazoezi siku ya mechi!
Sasa wajinga ni nani hapo?!
 
Mbn nilisikia hamchezi tena au wewe sio mwenzao?
 
We jamaaa ni ndezi sana,,,,njoo hapa utaje kanuni iliyotumika kuhairisha mechi
 
Naunga mkono hoja
 
KENGE WEE!MBWA KACHOKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…