Papi umerudishwa ukaanza gear ya kuchanganya l na r π
Blothel upo kumbe rong time no see
Halmfur sikuhizi huonekani mwanetu!Blothel upo kumbe rong time no see
Yaani nimeshalukwa na akiri bebi. Si unajua ukikaa kimya muda mlefu rugha inapotea, ehh!Papi umerudishwa ukaanza gear ya kuchanganya l na r π
Selan ndugu yangu me mbona nipo avairabre kasolo wew tuHalmfur sikuhizi huonekani mwanetu!
Rugha ya kiswahiri ni ngumu kumeza aisee!Yaani nimeshalukwa na akiri bebi. Si unajua ukikaa kimya muda mlefu rugha inapotea, ehh!
Ira inaboaπSelan ndugu yangu me mbona nipo avairabre kasolo wew tu
Asikwambie mtu aliyezoea kazoea πIra inaboaπ
Kabisa mkuu, dah! Kukaa nje ya JF kwa wiki mzima kunakosesha amani ujue.Blothel upo kumbe rong time no see
Ariyezoea naye wareware tuπAsikwambie mtu aliyezoea kazoea π
Daah mkuu nini kilifanya ukapewa kifungo si una maparody ya vita au unashindwa kushift ukianza kushambuliwa πKabisa mkuu, dah! Kukaa nje ya JF kwa wiki mzima kunakosesha amani ujue.
Bado tujahamia kwa ndugu zetu wa the thi tho yaani theran mambo ni mengi thanaAriyezoea naye wareware tuπ
Ira kusema ukweri hakuna rugha lahisi, karlibia kira rugha ni ngumu.Rugha ya kiswahiri ni ngumu kumeza aisee!
Bora utumie R kwenye L lakini sipendi mtu ambaye anatumia L kwenye R Aisee nachukia zaidiIlianza kidogo kidogo tofaLi watu wenye uvivu wa ubongo wanasema tofaRi, Ligi wanasema Rigi, kengeLe wanasema kengeRe sasa wamefika mpaka kwenye "r"ugha ya civilization Reaction wanasema Leaction!
What next? Look kusemwa Rook, River kusemwa Liver na Rock kusemwa Rock?!
View attachment 3694739
Kuna watu fulani fulani huwa napendelea kuwanyoosha. Sasa nikikaribia kuwamaliza mods wananiomba wanipige ban nami sometimes naridhia sometimes nakataa kuonesha uAyatollah wangu.Daah mkuu nini kilifanya ukapewa kifungo si una maparody ya vita au unashindwa kushift ukianza kushambuliwa π