Nakubali mkuu tuendelee kuwepo jf hivyo hivyo life lisonge tuKuna watu fulani fulani huwa napendelea kuwanyoosha. Sasa nikikaribia kuwamaliza mods wananiomba wanipige ban nami sometimes naridhia sometimes nakataa kuonesha uAyatollah wangu.
Hahaha 😂, Wala Sina parody!
Nakubali mkuu. Vipi, wiki hii hakuna memba mpya wa kike aliyejitambulisha humu?Nakubali mkuu tuendelee kuwepo jf hivyo hivyo life lisonge tu
Yupo ila anaonekana ana sonona ya kutupwa kwahiyo wadau wamekaa mbali kidogo kumsoma zaidiNakubali mkuu. Vipi, wiki hii hakuna memba mpya wa kike aliyejitambulisha humu?
Mkuu, usimhukumu Moja kwa moja kwa kumwambia ana sonona, huenda alisononeka sana baada ya kutoona comment ya ukaribisho kutoka kwa Ayatollah wa JF.Yupo ila anaonekana ana sonona ya kutupwa kwahiyo wadau wamekaa mbali kidogo kumsoma zaidi
Inawezekana pia si unajua nyinyi ndiyo wenye mji wenu mkikosekana mgeni anajiuliza nimekosea chaka auMkuu, usimhukumu Moja kwa moja kwa kumwambia ana sonona, huenda alisononeka sana baada ya kutoona comment ya ukaribisho kutoka kwa Ayatollah wa JF.
Neno la Ayatollah huwa faraja ujue 😎
Itabidi tubadilishe utaratibu kule jukwaani la mapokezi. Mgeni aje kabisa na hela ya mbege ya wazee ili akaribishwe vizuri na kulindwa dhidi ya mashambuki ya hawa wasiolinda migongo yao.Inawezekana pia si unajua nyinyi ndiyo wenye mji wenu mkikosekana mgeni anajiuliza nimekosea chaka au
Bora hawa bana😁Bado tujahamia kwa ndugu zetu wa the thi tho yaani theran mambo ni mengi thana
Umenikumbusha demu wangu wa miaka ile alivyokuwa anapenda kusema, "thatha mbona Leo hamna mboga, au tule tu ugali kwa picha ya thamaki".Bado tujahamia kwa ndugu zetu wa the thi tho yaani theran mambo ni mengi thana
mlifika mbali kweli maana wanakuwaga na wivu balaaUmenikumbusha demu wangu wa miaka ile alivyokuwa anapenda kusema, "thatha mbona Leo hamna mboga, au tule tu ugali kwa picha ya thamaki".
Yule wa kwangu hakuwa na wivu, hata alipoona nimethimama na Thamira au Thethilia alitulia tu.mlifika mbali kweli maana wanakuwaga na wivu balaa
Kukwepa umande tu, shuleni wakifika wanakariri tuIlianza kidogo kidogo tofaLi watu wenye uvivu wa ubongo wanasema tofaRi, Ligi wanasema Rigi, kengeLe wanasema kengeRe sasa wamefika mpaka kwenye "r"ugha ya civilization Reaction wanasema Leaction!
What next? Look kusemwa Rook, River kusemwa Liver na Rock kusemwa Rock?!
View attachment 3694739
Aithee! Ni kweli kabitha, kwanza nimmithi thana. Hawa mabinti wa thiku hithi wanathumbua kweli yaani.Basi ulipata mzuri thana maana thithi wakwetu hawa wakina theran wangekukuta hivyo lazma ungethema kwa kithpain na mangumi juu
Seran