Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #181
Aisee naona una hamu ya ligi kwelikweli,mimi pia natamani ila sidhani kama Le Mutuz atakubali....
HahahahaU know am dying for this chance natamani sana kupiga picha na le mutuz
1. Matukio yananifuata huwa siyafuati hata siku moja, sijawahi kwenda popote kwenye matukio bila kualikwa kwa sababu watengeneza matukio ni Celebrities wanajua nani ni mwenzao, so wananialika pole sana kama huwa hualikwi ila huwezi kualikwa kwa Ma Celebrity kama wewe sio ndio maana hualikwi wewe sio Celebrity mimi ni Big Celebrity ndio maana kwenye Birthday Part ya Aunt Ezekiel nilialikwa na ndio Dinner ya Muungano ya Rais nilialikwa Ikulu, wewe ni no body ndiuo maana huwezi kualikwa sehemu kama hizo ni kwa sisis big Celebrities tu!!
2. Michael Jackson alipokutana Quincy Jones mpaka akamsaidia kutengeneza Album ya kwanza vipi umri wao ulikuwaje? Wewe inaonekana ni mjinga flani hivi toka uzaliwe hujawahi kutoka nje ya Yombo na Kipawa hapo unapokaa maana huwezi kuwa na exposure ya maisha ukasema kwa nini unakuwa na rafiki asiye na umri kama wako, kaka nenda hata Nairobi usafishe macho maana upo nyumba sana, I mean Zari na Diamond vipi umri wao unasema upo sawa? MAtola sikujua kwamba uwezo wako wa kuikiri ni mdogo hivi, hahahahahahahaha I mean watoto wangu umelalia macho kila siku wanakuhusu nini mjinga wewe, wale watoto wamezaliwa USA ni raia wa US hawana muda wa ujinga kama wako, so unasema wewe watoto wako unawaheshimu sana kwa mwanaume mzima kwenda instagrama za wanaume wengine usiwajua na kuanza kuhamisha habari zao kuleta huku JF na kuanza kuwatukana kwa majina ya bandia unasema huo ndio ushujaa kiwa watoto na mke wako? Wewe hujaona picha za watoto wangu na Diamond alipoenda USA unafikiri kwa nini aliwatafuta na kupiga nao? Wewe huna akili mkuu tuliza boli Mwanaume haheshimiki na watoto wake kwa kuwa mbeya na mtunga majungu kama wewe, hahahahahahahaha
3. Nimetengeza jina la Le Mutuz Nation na I make a lot of money behind it, event ya Le Tamkoz limenipatia jumla ya Shillingi Millioni 3 just like that wewe jaribu uone kama utapata hata senti tano, mkuu nyamaza ingawa ninafurahi kwa mba unanisaidia sana kuniongezea jina ila kila ninapokusoma unaonekana una chuki sana na mimi nakuonea huruma sana mimi ninaishi downtown nina degree 3 ninaishi maisha yangu tena kwa raha na mstarehe wewe unawashwa na nini hasa kila siku kulia lia hapa kama mwanamke mwenye mimba?
4. Hapa ni Tanzania hao uliowataja wamarekani wananihusu nini mimi Le Mutuz Big Show? Kwa nini wewe umefanya nini hapa Tanznaia cha kukupatia legacy unayoisema unasema unawaachia watoto wako Legacy ya kutukana watu JF kwa majina ya bandia au what? I mean unaandika ujinga ujinga all the times why? Kama kweli unajiheshimu na unaheshimiwa kama unavyodai kwa nini basi usionyeshe heshima kwa kuja hapa na jina lako la ukweli angalau kidogo nitakuheshimu kuliko kudai unaijua heshima kwa majina ya bandia please nyamaza mkuu!
- hahahahahahahaha mkuu mimi ndio hivyo Tarehe 22/11/2014 naangusha the best ever pale Escape 1 sasa nimetoka kuongea na Wadhamini wakubwa hapa mjini hebu na wewe jaribu kwenda kuongea nao kama watakupa hiyo nafasi ila mimi wananitta wenyewe tuongee kuhusu kudhamini event yangu so please wachana na mimi mkuu jiangalie mwenyewe hapa ninapoandika hii post nipo ofisini kwangu wewe je unaandikia wapi mkuu? hahahahahahah tuliza boli mimi I am making money maadili kaa nayo, halafu unawasemaje Waandishi mbali mbali wa habari nchini walionichagua jana vipi na wao ni wajinga kama mimi ila mwenye akili ni wewe tu? Unaamini kwenye waandishi wote wa jana pale hawawepo wanaoingia hapa na kukusoma sasa kwa nini wamenichagua?
- Mkuu leo nimeamua kukusaidia kidogo mimi sio level yako inapokuja kwenye kufikiri, ninaweza kucheka na ninaweza kuwa serious kama leo hahahaaaaaa
Le Mutuz
ngoma inogile sasa acha tusikie tusio yajua sasa ila lemtumbozz nakukubali unavyojua kuwa jibu haters

Hahha we nae uking'ang'aniaga kituu
Kwa mtu ambaye hajui tofauti ya "lager" na "larger" halafu hana hata ustaarabu wa kukubali kwamba kakosea, kung'ang'ania ni sawa tu.
Kuna watu wanajifunzia hapahapa na nisipong'ang'ania mpaka usahihi ukajulikana wanaweza kufikiri kwamba kuandika "Windhoek Larger" in that context ni sawa tu.
Watch the show huyu Kilaza mwenye degree 3 kutoka vyuo vya uchochoroni namgaragaza in the first round na Ccm wenzake wajue unafki wake na how this old boy ni double face.
Stay tune naretreave mabandiko ya Field Marshal Es ili akileta puwa yake tu namaliza show.
JF si sehemu ya kuleta mbwembe yeye mbwembwe afanye na wajinga wenzake wa party za kipuuzi kwa watoto wasiojitambuwa.
mi napenda akimuigilizia utafikiri ndo yeye
Hili gazeti Dar Leo au Alasiri?
Le mtumboz le kikwaps le kubwaz jingaz upo shkamoo babu y una force maujiko kwa nguvu mpaka unaonekana kituko mtaani le mtumbozzzzz unajiaibisha na undungunyu wako
Mkuu wagu nakushuru sana kwa kuandika gazeti lote hili hii ina maana sindano imekuingi haswaa.
Nimebanwa kidogo na majukumu usiku huu ila nakuacha na swali ulijibu ili tuendelee na mjadala nikimaliza majukumu, unatushutumu kwa kutumia fake ID kutukana watu sasa swali langu kwako kati ya mimi Matola fake ID na William Malecela verified user ni nani kati yetu ni mmiliki wa ID ya Field Marshal Es? Hii ni ID ambayo imetumika muda mrefu hapa JF kumtukana matusi Rais Kikwete na pia inahusika na utapeli wa ajila za ughaibuni. Sasa leo nakuacha uchi watch the show.
Nikifika home kwenye pc nitaweka mabandiko yote ya Field Marshal hapa, na ukumbuke thermometer ina degree 100 na kazi yake inaishia kwenye kikwapa.
Cc: Kiranga Tyta
Watch the show huyu Kilaza mwenye degree 3 kutoka vyuo vya uchochoroni namgaragaza in the first round na Ccm wenzake wajue unafki wake na how this old boy ni double face.
Stay tune naretreave mabandiko ya Field Marshal Es ili akileta puwa yake tu namaliza show.
JF si sehemu ya kuleta mbwembe yeye mbwembwe afanye na wajinga wenzake wa party za kipuuzi kwa watoto wasiojitambuwa.
Kwa mtu ambaye hajui tofauti ya "lager" na "larger" halafu hana hata ustaarabu wa kukubali kwamba kakosea, kung'ang'ania ni sawa tu.
Kuna watu wanajifunzia hapahapa na nisipong'ang'ania mpaka usahihi ukajulikana wanaweza kufikiri kwamba kuandika "Windhoek Larger" in that context ni sawa tu.
Mkuu huyo kunguru Wa Zanzibar usihangaike nae kumwekea vinyesi alivyowanyea kina JK kwani wanamjua fika ndio maana kwenye duara la madaraka wametupwa kando...
Minyoo iliyomvimbisha tumbo itakua imempanda hadi kwenye ubongo ndo mana ana akili za minyoo....

Mkuu ulisema huta niquote tena imekuaje Leo?
kwa akili yako ndogo unadhani kupiga picha na MTU au kuchekewa ndo kupendwa?
Unafki Wa waafrika ndivyo ulivyo MTU anakuchekea ndani anakung'ong'a....