1. Matukio yananifuata huwa siyafuati hata siku moja, sijawahi kwenda popote kwenye matukio bila kualikwa kwa sababu watengeneza matukio ni Celebrities wanajua nani ni mwenzao, so wananialika pole sana kama huwa hualikwi ila huwezi kualikwa kwa Ma Celebrity kama wewe sio ndio maana hualikwi wewe sio Celebrity mimi ni Big Celebrity ndio maana kwenye Birthday Part ya Aunt Ezekiel nilialikwa na ndio Dinner ya Muungano ya Rais nilialikwa Ikulu, wewe ni no body ndiuo maana huwezi kualikwa sehemu kama hizo ni kwa sisis big Celebrities tu!!
2. Michael Jackson alipokutana Quincy Jones mpaka akamsaidia kutengeneza Album ya kwanza vipi umri wao ulikuwaje? Wewe inaonekana ni mjinga flani hivi toka uzaliwe hujawahi kutoka nje ya Yombo na Kipawa hapo unapokaa maana huwezi kuwa na exposure ya maisha ukasema kwa nini unakuwa na rafiki asiye na umri kama wako, kaka nenda hata Nairobi usafishe macho maana upo nyumba sana, I mean Zari na Diamond vipi umri wao unasema upo sawa? MAtola sikujua kwamba uwezo wako wa kuikiri ni mdogo hivi, hahahahahahahaha I mean watoto wangu umelalia macho kila siku wanakuhusu nini mjinga wewe, wale watoto wamezaliwa USA ni raia wa US hawana muda wa ujinga kama wako, so unasema wewe watoto wako unawaheshimu sana kwa mwanaume mzima kwenda instagrama za wanaume wengine usiwajua na kuanza kuhamisha habari zao kuleta huku JF na kuanza kuwatukana kwa majina ya bandia unasema huo ndio ushujaa kiwa watoto na mke wako? Wewe hujaona picha za watoto wangu na Diamond alipoenda USA unafikiri kwa nini aliwatafuta na kupiga nao? Wewe huna akili mkuu tuliza boli Mwanaume haheshimiki na watoto wake kwa kuwa mbeya na mtunga majungu kama wewe, hahahahahahahaha
3. Nimetengeza jina la Le Mutuz Nation na I make a lot of money behind it, event ya Le Tamkoz limenipatia jumla ya Shillingi Millioni 3 just like that wewe jaribu uone kama utapata hata senti tano, mkuu nyamaza ingawa ninafurahi kwa mba unanisaidia sana kuniongezea jina ila kila ninapokusoma unaonekana una chuki sana na mimi nakuonea huruma sana mimi ninaishi downtown nina degree 3 ninaishi maisha yangu tena kwa raha na mstarehe wewe unawashwa na nini hasa kila siku kulia lia hapa kama mwanamke mwenye mimba?
4. Hapa ni Tanzania hao uliowataja wamarekani wananihusu nini mimi Le Mutuz Big Show? Kwa nini wewe umefanya nini hapa Tanznaia cha kukupatia legacy unayoisema unasema unawaachia watoto wako Legacy ya kutukana watu JF kwa majina ya bandia au what? I mean unaandika ujinga ujinga all the times why? Kama kweli unajiheshimu na unaheshimiwa kama unavyodai kwa nini basi usionyeshe heshima kwa kuja hapa na jina lako la ukweli angalau kidogo nitakuheshimu kuliko kudai unaijua heshima kwa majina ya bandia please nyamaza mkuu!
- hahahahahahahaha mkuu mimi ndio hivyo Tarehe 22/11/2014 naangusha the best ever pale Escape 1 sasa nimetoka kuongea na Wadhamini wakubwa hapa mjini hebu na wewe jaribu kwenda kuongea nao kama watakupa hiyo nafasi ila mimi wananitta wenyewe tuongee kuhusu kudhamini event yangu so please wachana na mimi mkuu jiangalie mwenyewe hapa ninapoandika hii post nipo ofisini kwangu wewe je unaandikia wapi mkuu? hahahahahahah tuliza boli mimi I am making money maadili kaa nayo, halafu unawasemaje Waandishi mbali mbali wa habari nchini walionichagua jana vipi na wao ni wajinga kama mimi ila mwenye akili ni wewe tu? Unaamini kwenye waandishi wote wa jana pale hawawepo wanaoingia hapa na kukusoma sasa kwa nini wamenichagua?
- Mkuu leo nimeamua kukusaidia kidogo mimi sio level yako inapokuja kwenye kufikiri, ninaweza kucheka na ninaweza kuwa serious kama leo hahahaaaaaa
Le Mutuz