Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Kiranga na Le baharia wanajuana!

Hamna kitu wewe humjui huyu boya hata wewe ukibishana naye atakubambika ukoo wa Ngwilulupi Ex mke wake, hata mimi ameshawahi kusema ni kaka wa Ex mke wake.

Huyu jamaa kichwani ni boya kabisa, nataka ruhusa ya Max nimwage mambo hadharani hapa.

Au kama unatumia pc search ID ya Field Marshal angalia started thread za hiyo ID utashangaa sana kuona hapa kuna mtu anajiita rafiki wa Kikwete!!
 

- Matola wewe ni Mwanamke au Mwanaume na kama ni Mwanaume ni kabila gani ambalo ulienda jandoni wakakufundisha hizi tabia za kufuatilia wanaume usowajua na kuanza kuwaandika kwenye JF kwa majina ya bandia, nakuuliza MAtola wewe kweli ni mwanaume au ndio yale yale maana hii thread ni ya Kitchen Party sio ya wanaume kama hapa au? hahahahahahaha

Le Mutuz
 
Haya mkuu,sie wengine ngoja tutazame,msiuane tu!

- Wewe kaa pembeni hapa ninajaribu kuelewa kama Matola ni Mwanaume au Mwanamke maana hakuna Mwanaume anayeweza kuandika majungu na umbeya like this never! hahahahahahaha

Le Mutuz
 
- hahahahahahah tizama ulikotokea na unakoelekea wala hamna comparison, I mean nimekuuliza swali kama unaamini Mbalamwezi Club ni ya watoto nakuuliza Mmmiliki wake naye anatakiwa kuwa mtoto kama wewe au what? hahahahahahahah

Le Mutuz


we ni zaidi ya mjinga
 
Km mnapiga wanawake,mnawakimbia wake zenu kisa child suport...then you are all ID.IO..TS!!!!
 


- Wewe kaa pembeni hapa ninajaribu kuelewa kama Matola ni Mwanaume au Mwanamke maana hakuna Mwanaume anayeweza kuandika majungu na umbeya like this never! hahahahahahaha

Le Mutuz

Kati ya Matola na wewe nani Mwanaume? Msingi wa wa thread hii ni kukemea huu upuuzi wako.

Sasa tuache member waamuwe mimi na wewe nani ni wa kike?

Na ukumbuke hapa sijaanza bado kukushughuria na utapeli wako wa nafasi za kazi Ulaya na matusi ya nguoni uliyokuwa unamtukana Rais Kikwete ambaye leo bila chembe ya aibu eti unasema ni mshkaji wako!!
 

Attachments

  • 1415893864403.jpg
    59.4 KB · Views: 306

mbona inasemekana field marshall ni neema ngwilulupi??
 
mbona inasemekana field marshall ni neema ngwilulupi??

- hahahahahahahahahahhahaah Kaka Mwerevu U know

Le Mutuz

Msitafute pa kutokea hapa, kila mtu anajuwa watu wa sauti za umeme ni nani na kumkoma nyani giradi yake.

By the way muandiko wa kike na maneno ya kike na feelings za kike zinajulikana pia, so don't fool ur self old boy.

Huna hata haya Matusi na utapeli uliofanya unataka kumuhusisha Neema? Are u Christian Billy? Mwanamke mliyeshare damu kupata watoto na anafanya kazi taasisi kubwa Marekani unataka kumuhusisha na uchafu wa Field Marshal Es? Realy? Seriously?
Mrembo by Nature gilasi of water puliziii
 
Last edited by a moderator:
Unkw nifah i see you! Uknw Mimi naendelea kuingiza hela wanapo nitukana hahahaha I like it

Hahahaaaa Ruttashobolwa naona ulivyokua una screen short kutoka insta kuna mbebez alikua anataka umuambie kama yuko peke yake....
Hahahaaaa mkuu unachepuka nini?
 
Last edited by a moderator:

Inawezekana lemutuz ndio anamchafua mkewe? ngoja kuna kitu nakuwekea hapa
 
AnonymousSeptember 11, 2011 at 3:41 AM
Hili si jambo la binafsi. Halimhusu Neema Ngwilulupi tu. Na halihusu familia ya Malecela tu. Linahusu taifa letu kwa sababu Neema Ngwilulupi Malecela ni mmoja wa wawakilishaji wetu Umoja wa Mataifa (UN), na kabla ya hapo alikuwa ni mmoja wa wawakilishaji wetu katika ubalozi wa Tanzania nchini Belgium.

Amethibitisha pia katika michangio yake Jamii Forums kwamba aliwahi kuishi na kufanya kazi, Brussels, Belgium, alipo andika, "nina zungumza Kibeligiji," ingawa hakusema ukweli wote kwamba alikuwa secretary katika ubalozi wetu katika nchi hiyo.

Lakini inasikitisha kwamba hajui hata kueleza vizuri kuhusu lugha za nchi hiyo anaposema "nazungumza Kibeligiji," na kwamba "najua Kibeligiji."

Hakuna lugha inyoitwa Kibeligiji. Ni sawa na kusema "nazungumza Ki-Zambia," "najua Ki-Angola," "nazungumza Ki-Liberia," au "nazungumza Ki-Canada." Hakuna lugha kama hizo.

That is ignorance.

Kuna lugha tatu Belgium: Kidachi (Dutch), Kifaransa (French), na Kijerumani (German).

Neema Ngwilulupi Malecela (Field Marshall Es) hajui hata lugha moja kati ya lugha hizo. Najua ukweli kwa sababu mimi ni ndugu yake wa damu, na wa karibu sana, na tumejuana tangu utotoni.

Tuache kupendeleana, na tuache kulindana, eti kwa sababu ni ndugu ingawa tunajua ukweli utakao saidia kulikomboa taifa letu. Tumeumia vya kutosha kama taifa chini ya uongozi mbovu. Ndiyo maana imenibidi niseme ukweli bila kuficha chochote. Na siko peke yangu. Kuna ndugu wengi ambao wanataka wananchi wajue ukweli huo.
Reply


source:http://free-zanzibar.blogspot.com/2011/05/wananchi-tukisubiri-serekeli-yetu-ya.html

my take: kuna uwezekano ikawa kweli au le jingaz alikuwa anamchafua mkewe maana ni post ya 3 years ago hiyo
 

Ma man Le Mutuz,

Hivi una uhakika kuwa unamjua Kiranga au unakisia tu?
 

Ndio tabu ya Watanzania unarukia kudandia mdundiko usioujuwa, search Id ya Field Marshal humu kisha angalia started thread zake ndio urudi hapa.

Mimi najuwa ninachokifanya na nina uhakika nacho kwa 100%
 
Inawezekana lemutuz ndio anamchafua mkewe? ngoja kuna kitu nakuwekea hapa

Nikitaka kumchafuwa Neema Ngwilulupi nina file lake mpaka alivyopewa kazi UN kwa kubebwa, lakini yeye siyo target leo kwenye missile ambazo zipo standbay.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…