Anonymous
September 11, 2011 at 3:41 AM
Hili si jambo la binafsi. Halimhusu Neema Ngwilulupi tu. Na halihusu familia ya Malecela tu. Linahusu taifa letu kwa sababu Neema Ngwilulupi Malecela ni mmoja wa wawakilishaji wetu Umoja wa Mataifa (UN), na kabla ya hapo alikuwa ni mmoja wa wawakilishaji wetu katika ubalozi wa Tanzania nchini Belgium.
Amethibitisha pia katika michangio yake Jamii Forums kwamba aliwahi kuishi na kufanya kazi, Brussels, Belgium, alipo andika, "nina zungumza Kibeligiji," ingawa hakusema ukweli wote kwamba alikuwa secretary katika ubalozi wetu katika nchi hiyo.
Lakini inasikitisha kwamba hajui hata kueleza vizuri kuhusu lugha za nchi hiyo anaposema "nazungumza Kibeligiji," na kwamba "najua Kibeligiji."
Hakuna lugha inyoitwa Kibeligiji. Ni sawa na kusema "nazungumza Ki-Zambia," "najua Ki-Angola," "nazungumza Ki-Liberia," au "nazungumza Ki-Canada." Hakuna lugha kama hizo.
That is ignorance.
Kuna lugha tatu Belgium: Kidachi (Dutch), Kifaransa (French), na Kijerumani (German).
Neema Ngwilulupi Malecela (Field Marshall Es) hajui hata lugha moja kati ya lugha hizo. Najua ukweli kwa sababu mimi ni ndugu yake wa damu, na wa karibu sana, na tumejuana tangu utotoni.
Tuache kupendeleana, na tuache kulindana, eti kwa sababu ni ndugu ingawa tunajua ukweli utakao saidia kulikomboa taifa letu. Tumeumia vya kutosha kama taifa chini ya uongozi mbovu. Ndiyo maana imenibidi niseme ukweli bila kuficha chochote. Na siko peke yangu. Kuna ndugu wengi ambao wanataka wananchi wajue ukweli huo.
Reply
source:
http://free-zanzibar.blogspot.com/2011/05/wananchi-tukisubiri-serekeli-yetu-ya.html
my take: kuna uwezekano ikawa kweli au le jingaz alikuwa anamchafua mkewe maana ni post ya 3 years ago hiyo