Hahahaaaa Ruttashobolwa naona ulivyokua una screen short kutoka insta kuna mbebez alikua anataka umuambie kama yuko peke yake....
Hahahaaaa mkuu unachepuka nini?
Wewe ulikuwa unamtukana sana kikwete,baada ya baba yako mzazi kushindwa kwenye kura za maoni.
Ndio tabu ya Watanzania unarukia kudandia mdundiko usioujuwa, search Id ya Field Marshal humu kisha angalia started thread zake ndio urudi hapa.
Mimi najuwa ninachokifanya na nina uhakika nacho kwa 100%
le jingaz you know...pumba...vu kabisa
LE TAMKOZZZ.........!
Le mutuz anampenda sana huyu le mbebez mpaka anaumwa.
Heheh Le mutuz ni hazina kwa Tanganyika, atunzwe!
- Kwa hiyo unasema kwamba kuandika degreee ni sawa haya mkuu hahahahahahahaha
Le Mutuz
Hivi we Le mutuz kwa nini uliniblock....
- Ok lets say ilikuwa Mbalamwezi so unasema mwenye Mbalamwezi ni mjinga na mpumbavu au unasema inamilikiwa na Teeneger? unaona jinsi ulivyo huna akili hata ya kuweza kufikiri kidogo tu I mean empty head U know hahahahahahahah
Le Mutuz
ha ha ha ha ha ha kubwa jinga umepatikana Leo ndo maana unaambiwa ukiwa mwongo usiwe msahaulifu Mara bilicanas Mara mbalamwezi teh teh teh
eti rais alikupigia simu kwa lipi? hivi huoni aibu jizee Kama wewe kufanya mambo ya kitoto?
Halafu ulivyokua punguani eti unamwita JK baba ha ha ha yule anaweza kukuzaa wewe kweli? we na JK si mmepishana 4 years tu halafu umwite baba? acha kumletea uchuro baba Wa watu punguani waved!!!!!