Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Hahahaaaa Ruttashobolwa naona ulivyokua una screen short kutoka insta kuna mbebez alikua anataka umuambie kama yuko peke yake....
Hahahaaaa mkuu unachepuka nini?

Hahahahaha nifah alikuwa super lemtindiz mke wangu....hahahaha I like it
 
Last edited by a moderator:
Ndio tabu ya Watanzania unarukia kudandia mdundiko usioujuwa, search Id ya Field Marshal humu kisha angalia started thread zake ndio urudi hapa.

Mimi najuwa ninachokifanya na nina uhakika nacho kwa 100%

- hahahahahahahah madebe matupu nonsense!!, mkuu kwani wewe ni MWanamke au Mwanaume? hahahahaaa maana haya mambo ni ya kike sana, unafikiri unamtisha nani na huu ujinga wewe mimi nitatishika na ujinga ambao haunihusu hahahahahahahahahahahhaaa le mburulazzzz jibu swali wewe ni Mwanaume au Mwanamke maana haiwezekani ukawa Mwanaume u know hahaha

Le Big Show
 
le jingaz you know...pumba...vu kabisa

- HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA I LOVE THIS HAHAHAHAHAHAHAHAHA DEBE TUPUZZZZZ LE FISIZZZ umeona ulidhani mimi ni wale mnaowatukana bila kuwajibu nimewajibu kidogo tu mna panic mpaka kuniita majina ya ajabu mimi naitwa William Malecela Le Mutuz Big Show siwaogopi le mazafantazzz

Le Mutuz
 
LE TAMKOZZZ.........!
Le mutuz anampenda sana huyu le mbebez mpaka anaumwa.
 
Attachments

  • 1415897190281.jpg
    1415897190281.jpg
    9.2 KB · Views: 444
We endelea kuomba msamaha tu,waume wenzako wanakuchora tu.Le Mburulazzzzzzz.
 
Attachments

  • 1415897949563.jpg
    1415897949563.jpg
    39.9 KB · Views: 315
- Ok lets say ilikuwa Mbalamwezi so unasema mwenye Mbalamwezi ni mjinga na mpumbavu au unasema inamilikiwa na Teeneger? unaona jinsi ulivyo huna akili hata ya kuweza kufikiri kidogo tu I mean empty head U know hahahahahahahah

Le Mutuz

ha ha ha ha ha ha kubwa jinga umepatikana Leo ndo maana unaambiwa ukiwa mwongo usiwe msahaulifu Mara bilicanas Mara mbalamwezi teh teh teh

eti rais alikupigia simu kwa lipi? hivi huoni aibu jizee Kama wewe kufanya mambo ya kitoto?

Halafu ulivyokua punguani eti unamwita JK baba ha ha ha yule anaweza kukuzaa wewe kweli? we na JK si mmepishana 4 years tu halafu umwite baba? acha kumletea uchuro baba Wa watu punguani waved!!!!!
 
Back
Top Bottom