Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Lemutuz vipi tena uko insta wanakushambulia ulikua unafanya haja barabarani au photoshop ile?
 
Unamuadije nimebadili Id nimebadili profile pick ila nikifollow inagoma... nielekeze kuna mtu muhimu kaniblock nataka aniblokue

Shosti haya mambo ya insta hata siyajui mwaya 😊😊😊😊
 
Unamuadije nimebadili Id nimebadili profile pick ila nikifollow inagoma... nielekeze kuna mtu muhimu kaniblock nataka aniblokue

Mimi simfollow celeb yoyote Insta wote Id zao ziko open huwa napita na kusoma tu, je hutosheki kusoma tu Insta na kuangalia picha zao?

Mimi sioni la maana Insta linalokulazimu kuwafollow hawa maboya wakati una access ya kuingia kwenye account zao ukisearch user name tu.
 

Hivi huko Instagram unaingiaje?
 
Hivi huko Instagram unaingiaje?


Angalia hiyo app kama ipo kwenye smartphone yako ingia hapo kama huna kaipakuwe playstore.

Ukishafunguwa account yako sasa wewe search username zao ushuhudie Dunia hii Teknolojia inavyozidi kuwatia watu ujinga badala ya kuelimika.
 

Attachments

  • 1415905506301.jpg
    61.9 KB · Views: 360

Wengine ni private mpwa... inabidi tu umfollow..

Hahaaaa eti hawa maboya lol
 
Wengine ni private mpwa... inabidi tu umfollow..

Hahaaaa eti hawa maboya lol

Not me mpwa? Simfollow yeyote labda wale ambao tuko friends facebook.

Mimi huwa napita huko Insta kuwasanifu tu, kama Le boyas likionaga mipicha yake ina comment 3 tu linaishia kuwatisha followers atawadelete wasipokuwa wanacomment umbululaz wake, hapo mimi ndio starehe yangu huwa nacheka kimyakimya Mazafantaz.
 
- Wewe kaa pembeni hapa ninajaribu kuelewa kama Matola ni Mwanaume au Mwanamke maana hakuna Mwanaume anayeweza kuandika majungu na umbeya like this never! hahahahahahaha

Le Mutuz



Hahahahahah,,,,Le baharia mzee wa mbelez mzee wa bebez. U know naona unatoa sindano tu kwa wagonjwa
 
Kuhusu le mk..bwa ...jing.....a kumganda omar bakhresa nina file yake hapa hivi muulizen miez mitatu nyuma alienda ofsini kwa omar akawadanganya walinzi eti ana msg kapewa kutoka ze whte nyumba amfkishie ze omar muulizen alijibiwa nn akidanganya tuu narudi zee babz jingz u knw hahahaaaaaa ze mazasprite
 
Sijawahi ona mgogo sifuri kama hili ze tom... b..oyyy ze jingz kubz lem...vut..uuuu anamuaibisha mzee wake stil nakusubiri uongee zee ujingz nikupez za uso kuhusu kumganda omar bakhresa
 
Mgogo ni mgogo tu, hata asome vipi ,hata apate exposure vipi, huwa anabaki kuwa mgogo tu!

Eh eh eh nitake radhi tafadhali. Wagogo ni watu fresh sana. Mimi siyo mgogo ila nimekulia Dodoma na nimeolewa na mgogo...ni watu intelligent na wana talents sana tu, na ni wema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…