by the way before I comment...is this guy (Le Mutuz) under 17?
Hili kabila la wagogo linashida loh..........
Wengi wao magumashi
Kabisa la wavivu WA kufikiri na wavivu w kufanya kazi......
Ndo maana wengi
wao ni
OMbaomba
Ndugu tafadhali ...
Kwa kifupi huyu ni classmate wa Pinda, kina Ngeleja, Malima,Nchimbi, Simbachawene wote hawa wanampa shikamoo.
Miss Tz alieng'atuka utapiga naye picha lini mkuu nadhani huyo ndo kabaki wengine wote ushawamaliza
Msitafute pa kutokea hapa, kila mtu anajuwa watu wa sauti za umeme ni nani na kumkoma nyani giradi yake.
By the way muandiko wa kike na maneno ya kike na feelings za kike zinajulikana pia, so don't fool ur self old boy.
Huna hata haya Matusi na utapeli uliofanya unataka kumuhusisha Neema? Are u Christian Billy? Mwanamke mliyeshare damu kupata watoto na anafanya kazi taasisi kubwa Marekani unataka kumuhusisha na uchafu wa Field Marshal Es? Realy? Seriously?
Mrembo by Nature gilasi of water puliziii
TayariMiss Tz alieng'atuka utapiga naye picha lini mkuu nadhani huyo ndo kabaki wengine wote ushawamaliza
Kuhusu le mk..bwa ...jing.....a kumganda omar bakhresa nina file yake hapa hivi muulizen miez mitatu nyuma alienda ofsini kwa omar akawadanganya walinzi eti ana msg kapewa kutoka ze whte nyumba amfkishie ze omar muulizen alijibiwa nn akidanganya tuu narudi zee babz jingz u knw hahahaaaaaa ze mazasprite
Kwa haraka haraka hapo ktk hizo post mbili ana like km 900..kwa siku akipata hizo likes kadhaa mara post kadhaa...kaingiza mtonyo...
Hao followers miaka nenda rudi hawafiki hata 15,000 alafu anajiita King... Washenzi wenzake akina Sepetu wana followers laki mbili huko..
si ndio anawaongeza kwa style hii ...unadhani kupitia hii thread hajawapata japo mmoja wawili..?
Genius wewe,@aveHeheh Le mutuz ni hazina kwa Tanganyika, atunzwe!
Matola wewe ndio wa kike umezidi kutukana watu na kujiona una akili kuliko watu wengine, kutwa kushinda kutukana na kudharau watu.Unashinda unatukana kina Wema,diamond n.k na leo jukwaa la habari umewaanza Wasabato. Umezidi ngoja upewe za uso na kiboko yako .
Kiboko na Mamba nani kiboko?
Umenielewa, jioni njema.
Mimi nilipo ni asubuhi.
Mimi nilipo ni 22.47 usiku mwema, kumbe ni mbeba box !! ndio maana una hasira na Le big show anavyokula bata maana huko full box hakuna bata.Haya asubuhi njema .