Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Msitafute pa kutokea hapa, kila mtu anajuwa watu wa sauti za umeme ni nani na kumkoma nyani giradi yake.

By the way muandiko wa kike na maneno ya kike na feelings za kike zinajulikana pia, so don't fool ur self old boy.

Huna hata haya Matusi na utapeli uliofanya unataka kumuhusisha Neema? Are u Christian Billy? Mwanamke mliyeshare damu kupata watoto na anafanya kazi taasisi kubwa Marekani unataka kumuhusisha na uchafu wa Field Marshal Es? Realy? Seriously?
Mrembo by Nature gilasi of water puliziii

nimeipenda hii
 
Last edited by a moderator:
Kuhusu le mk..bwa ...jing.....a kumganda omar bakhresa nina file yake hapa hivi muulizen miez mitatu nyuma alienda ofsini kwa omar akawadanganya walinzi eti ana msg kapewa kutoka ze whte nyumba amfkishie ze omar muulizen alijibiwa nn akidanganya tuu narudi zee babz jingz u knw hahahaaaaaa ze mazasprite

mwaga ubuyu wote hapa hawezi kusema alichojibiwa u know
 
Matola wewe ndio wa kike umezidi kutukana watu na kujiona una akili kuliko watu wengine, kutwa kushinda kutukana na kudharau watu.Unashinda unatukana kina Wema,diamond n.k na leo jukwaa la habari umewaanza Wasabato. Umezidi ngoja upewe za uso na kiboko yako .
 
Hao followers miaka nenda rudi hawafiki hata 15,000 alafu anajiita King... Washenzi wenzake akina Sepetu wana followers laki mbili huko..

si ndio anawaongeza kwa style hii ...unadhani kupitia hii thread hajawapata japo mmoja wawili..?
 
si ndio anawaongeza kwa style hii ...unadhani kupitia hii thread hajawapata japo mmoja wawili..?

Anayemfollow huyu ----en nae hana akili hata moja... Linapiga makelele humu eti King sijui supastaa wakati account yenyewe hata haiko verified..
 
Matola wewe ndio wa kike umezidi kutukana watu na kujiona una akili kuliko watu wengine, kutwa kushinda kutukana na kudharau watu.Unashinda unatukana kina Wema,diamond n.k na leo jukwaa la habari umewaanza Wasabato. Umezidi ngoja upewe za uso na kiboko yako .

Kiboko na Mamba nani kiboko?
 
Mimi nilipo ni asubuhi.

Mimi nilipo ni 22.47 usiku mwema, kumbe ni mbeba box !! ndio maana una hasira na Le big show anavyokula bata maana huko full box hakuna bata.Haya asubuhi njema .
 
Back
Top Bottom