William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Umesema utanipa complimentary tickets niwache kupoteza muda ama vipi??
- Jibu swali wewe ni Demu au Mamen?
Le Mutuz
wanakusugua wewe si bure..
- hahahahahah kumbe unsuguliwa duh? hahahahahaha kama kawaida unajisema mwenyewe badala ya kujibu swali unajisema mwenyewe mambo yako ya siri hahahahahahahahahahahahahahahaha
Le Mutuz
Kama una stress katafute pengine kwa kuzitolea.. You can consider this conversation is over.
- hahahahahah kumbe unsuguliwa duh? hahahahahaha kama kawaida unajisema mwenyewe badala ya kujibu swali unajisema mwenyewe mambo yako ya siri hahahahahahahahahahahahahahahaha
Le Mutuz
- Siku nikikimbia ujue nimekufa nilikuwa busy na Show ya Tegeta imekwisha now bring it on!!, so far Page 20 Viewed by 22,000 people I love it U know
Le Mutuz
- My Show Kabaha Palace imeingiza wananchi 1000, ile Show Mikochen iliingiza wananchi 5,500 na sasa my next stop Mbeya, karibu sana nitakupa complimentary tickets wacha kupoteza muda na usiowajua na wala hawakujui jianglie maisha yako hayawezi kuwa sawa ukaanza kufuatilia umri wa wanaume usiowajua lazima kichwa chako ni kibovu, huwezi kuwa sawa ukaanza kufuatilia maisha ya wanaume wengine pole sana hayo maujinga yako hayanihusu na wala I dont care ninakula maisha yangu kama kawa, kama hupendi kufa U know hahahahahahahah
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Le Big Show
yamemshinda kabwaga manyanga....
Sasa sijui weye utaweza????
Mbowe kazaliwa 1961, wewe ulishawai kusema humu ulikuwako kabla ya Tanganyika kupata uhuru 1961. Tikiacha hayo, kama unasema una miaka chini ya Mbowe, which means 53< na umerudi Bongo huu ni mwaka wa 4 sasa which means ukijumulisha na ile miaka yako 30 ya kukaa ulaya inakuwa miaka 34, ok well tufanye una miaka 50 then tukitoa na hiyo miaka 34 jibu linakuja ulienda ulaya ukiwa na miaka 16 tu.
Then if we start to generate our theory from there, jibu linakuja hukuweza kumaliza Form Four kwakuwa there is no way ulimaliza Form Four kwa miaka 16 tu. OK, kama ulimaliza, ina maana ulipata sifuri na hukufanikiwa kuendelea na Kidato cha tano hivo ukaamua kukimbilia ulaya. Mmeshazoea kudanganya umri ndio maana hadi yule mtoto wa mbunge wenu alitudanganya kama wewe unavyotaka kutudanganya kwamba una umri mdogo kuliko Mbowe.
Tukiyaacha hayo, wazazi wana jukumu la kusomesha watoto, sasa sijui kwanini wewe ulikimbia child support. Ni aibu kwa umri wako kujisifia unafanya biashara ya blog ukajiita una mafanikio, kwasababu biashara zote za blog ni za kipumbavu kama nyie bloggers pia mlivyo wapumbavu. By Far, Rahatupu Blogspot ya Nancy Mitikisiko ina viewers mara mia ya ki blog chako, blog yako haifikii hata nusu ya blog ya U-TURN. Ila pia huku duniani sijawahi sikia kuna mtu mwenye madegree matatu anaishia kumiliki blog na kutukanana na Teenagers Instagram tena ukizingatia mtu huyo ana miaka 55+
Unafikiri kumchamba vima /kumtawaza lijitu lizima kama lemutuz kazi ndogo eeh?
Le mutuz ana vituko sana live long le baharia.....
Haha haaaaa Mdakuzi njoo huku umuone Le Mutuz...
I miss you u know.....
Haha haaaaa Mdakuzi njoo huku umuone Le Mutuz...
I miss you u know.....
Brilliant aiseee
Huna ao called degree tatu kama yeye and u r this smart
Shame on le mutuz le mavuziz
Le Mutuz hewani. Ila sijamuelewa kabisa, Degree tatu zake zimeishia kuwa mpiga show za night clubs. Labda angefanya matamasha ningemwelewa, au labda anasanya hela za kutafutia ubunge?!
Ova
Mkuu huyo jamaa ana matatizo... achana nae tu
- Eti unawajua wabongo wangapi wenye Degree 3 kama mimi wanaoweza kukusanya wananchi 6,000 kwenye event moja hapa Dar? hahahahahahah Wazungu wanasema ukiona binadam ana uwezo wa kufanya kitu cha kuwakusanyisha wananchi asiowajua zaidi ya 100 sio wa kawaida So relax!! tupo town tunapiga pesa sio longo longo tena clean money!!, juzi Tegeta ilikuwa ni balahaaaa
Le Big Show