Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

- hahahahahah kumbe unsuguliwa duh? hahahahahaha kama kawaida unajisema mwenyewe badala ya kujibu swali unajisema mwenyewe mambo yako ya siri hahahahahahahahahahahahahahahaha

Le Mutuz

Kama una stress katafute pengine kwa kuzitolea.. You can consider this conversation is over.
 
Kama una stress katafute pengine kwa kuzitolea.. You can consider this conversation is over.

- HAHAHAHAHAHAHA wewe utabadili ID mpaka utachoka eti ulisema mimi nimekukimbia wewe? Please hahahahahah ona sasa ulivyojivua nguo mwenyewe kuhusu mambo yako ya binafsi hahahahahahaha

Le Mutuz
 
- hahahahahah kumbe unsuguliwa duh? hahahahahaha kama kawaida unajisema mwenyewe badala ya kujibu swali unajisema mwenyewe mambo yako ya siri hahahahahahahahahahahahahahahaha

Le Mutuz

Haha haaaaa Mdakuzi njoo huku umuone Le Mutuz...
I miss you u know.....
 
Last edited by a moderator:
- My Show Kabaha Palace imeingiza wananchi 1000, ile Show Mikochen iliingiza wananchi 5,500 na sasa my next stop Mbeya, karibu sana nitakupa complimentary tickets wacha kupoteza muda na usiowajua na wala hawakujui jianglie maisha yako hayawezi kuwa sawa ukaanza kufuatilia umri wa wanaume usiowajua lazima kichwa chako ni kibovu, huwezi kuwa sawa ukaanza kufuatilia maisha ya wanaume wengine pole sana hayo maujinga yako hayanihusu na wala I dont care ninakula maisha yangu kama kawa, kama hupendi kufa U know hahahahahahahah
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Le Big Show

kipi ambacho kimesemwa ni cha uongo labda?
We jamaa tezi dume kweli jibu hoja zake
 
Mbowe kazaliwa 1961, wewe ulishawai kusema humu ulikuwako kabla ya Tanganyika kupata uhuru 1961. Tikiacha hayo, kama unasema una miaka chini ya Mbowe, which means 53< na umerudi Bongo huu ni mwaka wa 4 sasa which means ukijumulisha na ile miaka yako 30 ya kukaa ulaya inakuwa miaka 34, ok well tufanye una miaka 50 then tukitoa na hiyo miaka 34 jibu linakuja ulienda ulaya ukiwa na miaka 16 tu.

Then if we start to generate our theory from there, jibu linakuja hukuweza kumaliza Form Four kwakuwa there is no way ulimaliza Form Four kwa miaka 16 tu. OK, kama ulimaliza, ina maana ulipata sifuri na hukufanikiwa kuendelea na Kidato cha tano hivo ukaamua kukimbilia ulaya. Mmeshazoea kudanganya umri ndio maana hadi yule mtoto wa mbunge wenu alitudanganya kama wewe unavyotaka kutudanganya kwamba una umri mdogo kuliko Mbowe.

Tukiyaacha hayo, wazazi wana jukumu la kusomesha watoto, sasa sijui kwanini wewe ulikimbia child support. Ni aibu kwa umri wako kujisifia unafanya biashara ya blog ukajiita una mafanikio, kwasababu biashara zote za blog ni za kipumbavu kama nyie bloggers pia mlivyo wapumbavu. By Far, Rahatupu Blogspot ya Nancy Mitikisiko ina viewers mara mia ya ki blog chako, blog yako haifikii hata nusu ya blog ya U-TURN. Ila pia huku duniani sijawahi sikia kuna mtu mwenye madegree matatu anaishia kumiliki blog na kutukanana na Teenagers Instagram tena ukizingatia mtu huyo ana miaka 55+

Brilliant aiseee
Huna ao called degree tatu kama yeye and u r this smart
Shame on le mutuz le mavuziz
 
gwijimimi

- Mbona unajisema mwenyewe mambo yako ya siri hapa hatuyahitaji kuyajua mkuu hapa sio Momabasa eti, kuhusu Escape One naomba nikuulize Instagram Party ya kwanza waliingia wangapi? hahahahahahahah mtakufa na vijiba shongoni sisi tunavuta pesa tu U know!!, umesikia kivumbi cha Tegeta juzi nilipompelekea Juma Nature ilikuwa ni balahaaaa

Le Mutuz
 
Last edited by a moderator:
gwijimimi

- Unahangaika na ID mpaka ufe mimi mwendo ni ule ule huwezi kuwa na Degree 3 ukaja kwa majina ya bandia hapa kufuatilia maisha ya Wanaume kama wewe lazima uwe huna elimu kwanza, U know hahahahahaha U know

Le Big Show
 
Last edited by a moderator:
Unafikiri kumchamba vima /kumtawaza lijitu lizima kama lemutuz kazi ndogo eeh?

- Leo All big Celebrities hapa mjini tumealikwa kwenye Preview ya Movie mpya Obey, vipi wewe na wewe Big Celeb umealikwa au utasubiri kuona picha tu kama kawa? hahahahahahahahahah U know

Le Mutuz
 
Haha haaaaa Mdakuzi njoo huku umuone Le Mutuz...
I miss you u know.....

Le Mutuz hewani. Ila sijamuelewa kabisa, Degree tatu zake zimeishia kuwa mpiga show za night clubs. Labda angefanya matamasha ningemwelewa, au labda anasanya hela za kutafutia ubunge?!
Ova
 
Last edited by a moderator:
Le Mutuz hewani. Ila sijamuelewa kabisa, Degree tatu zake zimeishia kuwa mpiga show za night clubs. Labda angefanya matamasha ningemwelewa, au labda anasanya hela za kutafutia ubunge?!
Ova

- Eti unawajua wabongo wangapi wenye Degree 3 kama mimi wanaoweza kukusanya wananchi 6,000 kwenye event moja hapa Dar? hahahahahahah Wazungu wanasema ukiona binadam ana uwezo wa kufanya kitu cha kuwakusanyisha wananchi asiowajua zaidi ya 100 sio wa kawaida So relax!! tupo town tunapiga pesa sio longo longo tena clean money!!, juzi Tegeta ilikuwa ni balahaaaa

Sio kila mtu ukimkusanya unakuwa wewe balaa. Wengine ni mazuzu tu, so usijidanganye kuwa umetusua kwa kuwakusanya mbululazzz U know.
Ila nakupa tano kwa kusaka clean money huo ndo uzalendo kwa nchi yako ya asili. Ila kazitoe kabatini Degree zako, achana na hayo mambo ya level za akina Said Fella.
Ova
 
Back
Top Bottom