- hAHAhahahaha nilikuwa busy na kuhamia my new home 3 bedrooms apartment at downtown bongo Jamhuri street U know Kampala siendi naenda Arusha nitakuwa huko Kristmas na Mwaka mpya just to relax U know, baada ya 30 years majuu nimerudi bongo mgeni kabisa lakini in 3 years ya kuhangaika bongo now I am straight, my home, my car, and making money, sina uhakika unasema nini zaidi tu ya kelele za mlango nenda jipange tena U know!!
Le Mutuz
- Haikuwa inanishushia hadhi ila ningekaa Polisi sawa lakini kwenye nyumba ya baba yangu unasema mtu akiishi kwenye nyumba ya baba yake mzazi anashuka hadhi wapi huko kwenu nini? Hahahaa ninasema na nimeshasema nimekaa Majuu 30 years nimerudi 3 years ago na kukuta bongo tofauti na niliyoiacha, nikiwa majuu nimejenga nyumba kubwa sana Kinyerezi lakini baada ya kurudi nikaamua kukaa karibu na mjini kufanya biashara zangu kwa karibu, Baba yangu amehamia Dodoma nimekuta nyumba ya Baba yangu ipo tupu haina mtu, nimemuomba nijisitiri kwa muda mpaka nitakapojiweka sawa 3 years later nimehamia kwenye apartment yangu na kuiacha nyumba ya baba yangu ikiwa vile vile kama nilivyoikuta tupu, na sio moja tu zipo mbili zingine zipo tupu hazina mtu zimejaa popo, unasema kwamba kwa haya yote ni kujishushia heshima ila kujipandishia heshima ulitaka nikakae kwenye chumba cha kupanga Mwananyamala Koma Koma nianze kutumia Choo kimoja cha nje na wapangaji wengine ndio ningekuwa na heshima kwenye jamii? Hahahahaa heshima ya kuheshimiwa na nani wewe unayeingia JF kwa majina ya bandia na kutukana watu usiowajua ndio ninatakiwa kutafuta heshima yako kweli? Hahaha yaani kweli huoni kwamba kichwani mwako ni zero kabisa halafu unakuja hapa kujaribu kushindana na Degree 3 utaweza wapi, pole sana mkuu hapa ni maji mazito wewe unadhani mimi ni The King Of All Bongo Social Media Network kwa bahati mbaya ni shule wewe nenda shule now!!
Le Mutuz
hebu tupe somo kuhusu matamasha na udhamini!!
yaani wale sponsor wanakupa hela before or after events?
nataka Nipige hizi mambo huku Namtumbo!!
Le mutuz jaman ni muongo balaa
- Ukitayarisha Tamasha inategemea kama ni zito sana ukianza kulitangaza mwanzoni kuna wadhamini wanajitokeza wenyewe au kuna wewe kuwatafuta, Wadhamini wanakupa hela baada ya event sio kabla.
Le Mutuz
U knw me ze big celeb so mabebz wote wakare u knw ukinipa idea zen naku bikira wa kisukuma u knw wht i mean with my 3 degree za kupapatikia picha n wasaneee mchwarame I like it u know!!
mimi nikikupa idea sababu ya uzoefu wako kwenye hizo events inakuwa vipi hapo?
U knw me ze big celeb so mabebz wote wakare u knw ukinipa idea zen naku bikira wa kisukuma u knw wht i mean with my 3 degree za kupapatikia picha n wasaneee mchwara
Le mtumb....ooozzzzzzzzz
Nakukubali sana my brother mm nimsomaji tu wa thread hz lakn kwa majibu yako upo juu sana haupanic kujibu wala hautumii lugha mbaya u know never give up the king
u knw me ze big celeb so mabebz wote wakare u knw ukinipa idea zen naku bikira wa kisukuma u knw wht i mean with my 3 degree za kupapatikia picha n wasaneee mchwara
le mtumb....ooozzzzzzzzz
- Eti ni degree au Degree? Si unatakiwa kuanza na D kubwa au hahahahahahahahha
Le Big Show
Wewe ndo celebrity wangu kwa mwaka huu.... dangote bado anasubiri kwako.... u know..
- Ndio faida ya kuwa elimu kubwa mkuu kama yangu U know Degree 3 sio mchezo U know!! hahahahahahaha I love it!!
Le Mutuz
Ina maana kiongozi una PhD au hizo 3 tofauti....?