- Haikuwa inanishushia hadhi ila ningekaa Polisi sawa lakini kwenye nyumba ya baba yangu unasema mtu akiishi kwenye nyumba ya baba yake mzazi anashuka hadhi wapi huko kwenu nini? Hahahaa ninasema na nimeshasema nimekaa Majuu 30 years nimerudi 3 years ago na kukuta bongo tofauti na niliyoiacha, nikiwa majuu nimejenga nyumba kubwa sana Kinyerezi lakini baada ya kurudi nikaamua kukaa karibu na mjini kufanya biashara zangu kwa karibu, Baba yangu amehamia Dodoma nimekuta nyumba ya Baba yangu ipo tupu haina mtu, nimemuomba nijisitiri kwa muda mpaka nitakapojiweka sawa 3 years later nimehamia kwenye apartment yangu na kuiacha nyumba ya baba yangu ikiwa vile vile kama nilivyoikuta tupu, na sio moja tu zipo mbili zingine zipo tupu hazina mtu zimejaa popo, unasema kwamba kwa haya yote ni kujishushia heshima ila kujipandishia heshima ulitaka nikakae kwenye chumba cha kupanga Mwananyamala Koma Koma nianze kutumia Choo kimoja cha nje na wapangaji wengine ndio ningekuwa na heshima kwenye jamii? Hahahahaa heshima ya kuheshimiwa na nani wewe unayeingia JF kwa majina ya bandia na kutukana watu usiowajua ndio ninatakiwa kutafuta heshima yako kweli? Hahaha yaani kweli huoni kwamba kichwani mwako ni zero kabisa halafu unakuja hapa kujaribu kushindana na Degree 3 utaweza wapi, pole sana mkuu hapa ni maji mazito wewe unadhani mimi ni The King Of All Bongo Social Media Network kwa bahati mbaya ni shule wewe nenda shule now!!
Le Mutuz