spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,156
- Soon tutatangaza kuajiri kwenye Radio na TV so kaa mkao wa kula mkuu!!
Le Mutuz
Unaongea na Mwanaume wa shoka, unadhani mimi kama wewe joka la kibisa, kazi kupiga picha na mademu lakini hauna sumu.- Mkuu umeuliza nimekujibu na wewe nijibu wewe ni mamen au demu? Maana ni mademu ndio hwua wanauliza umri wa wanaume vipi wewe ni wasap? hahahahaha
Le Mutuz
Unaongea na Mwanaume wa shoka, unadhani mimi kama wewe joka la kibisa, kazi kupiga picha na mademu lakini hauna sumu.
Duh huyu kwangu si dingi kabisa? Kwakweli nimefuatilia toka page1 hadi ya mwisho. Huyu mzee atakuwa c hayati c mamati, na nyinyi dadazetu mnaolewa na mtu kisa ni mtoto wa waziri, hv kwa akiri ya huyu mzee anaweza kuishi na familia kweli? Au zamani hakua hv ninyi mnao mfahamu? Me namshauri aingie bongo move aigize na mzee Majuto areplace ile nafasi ya marehemu shalo, japo shalo alikua akiigiza kumbe kweli watu km hawa wapo! Asee cjawah ona hii. Na alisoma degree za nn huyu? Ndo maana watu wanadharau elimu ckuhz maana wajinga wengi sana, ss mtu na degree tatu unafanya kazi ya kupiga picha na watu ili upate hela? Blog blog bloger? Hii ni kaz ya waandishi wa habali, afu kutumia au kumiloki blog hakuhitaji shule ndo maana zipo nyingi. Ww umejulikana kutokana na umaarufu wa babaako. Najaribu kupata picha km mzee asingekiwa maarufu, huyu jamaa ana akiri ya kimasikini. Wenzake wa kina Kenyata, husen mwinyi, janiary makamba, wakina ridhiwani wanafanya vtu vya maana yeye anapiga pcha na vischana vya barabarani? Hata hao akina kikwete anaopigapicha nao nahic wanamzarau. Jaman usikute ni msukule wa mzee malesela! Jamani hadi ss watoto wake kabisa tunaakiri kiliko yeye, za nini degree tatu kwa kazi yake? C hata mtu wa darasa la saba anafanya? Pole sana mzee Malecela, kitanda hakizai haramu.
Huu ni ujinga kufanywa na babu anaekaribia kufikisha miaka 60, Tafadhali old boy waheshimu hata wanao uliowazaa they don't deserve Father of this category.
W. J. Malecela wewe ni wa kipekee, Makumbusho waangalie jinsi gani watakuhandle, tunaweza ingiza pesa ya maana toka Ughaibuni tukiwa makini...
Duh huyu kwangu si dingi kabisa? Kwakweli nimefuatilia toka page1 hadi ya mwisho. Huyu mzee atakuwa c hayati c mamati, na nyinyi dadazetu mnaolewa na mtu kisa ni mtoto wa waziri, hv kwa akiri ya huyu mzee anaweza kuishi na familia kweli? Au zamani hakua hv ninyi mnao mfahamu? Me namshauri aingie bongo move aigize na mzee Majuto areplace ile nafasi ya marehemu shalo, japo shalo alikua akiigiza kumbe kweli watu km hawa wapo! Asee cjawah ona hii. Na alisoma degree za nn huyu? Ndo maana watu wanadharau elimu ckuhz maana wajinga wengi sana, ss mtu na degree tatu unafanya kazi ya kupiga picha na watu ili upate hela? Blog blog bloger? Hii ni kaz ya waandishi wa habali, afu kutumia au kumiloki blog hakuhitaji shule ndo maana zipo nyingi. Ww umejulikana kutokana na umaarufu wa babaako. Najaribu kupata picha km mzee asingekiwa maarufu, huyu jamaa ana akiri ya kimasikini. Wenzake wa kina Kenyata, husen mwinyi, janiary makamba, wakina ridhiwani wanafanya vtu vya maana yeye anapiga pcha na vischana vya barabarani? Hata hao akina kikwete anaopigapicha nao nahic wanamzarau. Jaman usikute ni msukule wa mzee malesela! Jamani hadi ss watoto wake kabisa tunaakiri kiliko yeye, za nini degree tatu kwa kazi yake? C hata mtu wa darasa la saba anafanya? Pole sana mzee Malecela, kitanda hakizai haramu.
Akiwa PM huyu mi ntakana uraia kwa kufata taratibu zote, na kujichimbia Somalia ambako najua its more of anarchy mode...
Nimefuatilia hii thread naona kuna question mark kwenye maisha ya huyu bwana. Lakini kwa upande mwingine si issue kubwa sababu sidhani kama anafanya chochote kibaya na hawa mabinti - sidhani kama anafanya nao mapenzi to be precise. Sioni vibaya sababu kuna wazee zaidi wake wanajihuzisha kimapenzi na mabinzi wa umri wa wajukuu zao kisiri siri. Kama kuna data za yeye kufanya mapenzi na vibinti zileteni hapo itakuwa scandal. Otherwise, he seems to be a jovial man who enjoys uplifting people emotionally, and of course make money through social media. And the girls needs the publicity.
Mada ya so called upuuzi wa Le Mutuz eti ina kurasa 25!
That speaks volumes about the folks who made it happen!
- My nigger 25 pages, 40,000 viewers now who is mpuuuzi U know? hahahahahahha I am humbled The King Of All Bongo Social Media Network alive!!
Le Mutuz
I mean..what can I say...
You doin' it ma ninja.
And if I were you I wouldn't change a damn thing coz evidently whatever it is that you are doing, is working.
So if it ain't broke, don't fix it.
Ya heard?
Umesema ukweli mtupu huyu jamaa ni kubwa jinga halafu mbaya zaidi hajitambui kama ni jinga
Mada ya so called upuuzi wa Le Mutuz eti ina kurasa 25!
That speaks volumes about the folks who made it happen!