Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

- Mkuu umeuliza nimekujibu na wewe nijibu wewe ni mamen au demu? Maana ni mademu ndio hwua wanauliza umri wa wanaume vipi wewe ni wasap? hahahahaha

Le Mutuz
Unaongea na Mwanaume wa shoka, unadhani mimi kama wewe joka la kibisa, kazi kupiga picha na mademu lakini hauna sumu.
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Duh huyu kwangu si dingi kabisa? Kwakweli nimefuatilia toka page1 hadi ya mwisho. Huyu mzee atakuwa c hayati c mamati, na nyinyi dadazetu mnaolewa na mtu kisa ni mtoto wa waziri, hv kwa akiri ya huyu mzee anaweza kuishi na familia kweli? Au zamani hakua hv ninyi mnao mfahamu? Me namshauri aingie bongo move aigize na mzee Majuto areplace ile nafasi ya marehemu shalo, japo shalo alikua akiigiza kumbe kweli watu km hawa wapo! Asee cjawah ona hii. Na alisoma degree za nn huyu? Ndo maana watu wanadharau elimu ckuhz maana wajinga wengi sana, ss mtu na degree tatu unafanya kazi ya kupiga picha na watu ili upate hela? Blog blog bloger? Hii ni kaz ya waandishi wa habali, afu kutumia au kumiloki blog hakuhitaji shule ndo maana zipo nyingi. Ww umejulikana kutokana na umaarufu wa babaako. Najaribu kupata picha km mzee asingekiwa maarufu, huyu jamaa ana akiri ya kimasikini. Wenzake wa kina Kenyata, husen mwinyi, janiary makamba, wakina ridhiwani wanafanya vtu vya maana yeye anapiga pcha na vischana vya barabarani? Hata hao akina kikwete anaopigapicha nao nahic wanamzarau. Jaman usikute ni msukule wa mzee malesela! Jamani hadi ss watoto wake kabisa tunaakiri kiliko yeye, za nini degree tatu kwa kazi yake? C hata mtu wa darasa la saba anafanya? Pole sana mzee Malecela, kitanda hakizai haramu.
 
Form six, degree had masters sitaki kazi....... niachen niandae matamasha na kupiga picha na wabebez wakare.....
 
- Ni kawaida ya shoga kujisema mwenyewe bila kuulizwa hasa anapotaka kutangaza biashara yake mahali kama hapa JF, mengine ni nonsense nipo Arusha on vacation nikimaliza ninakuja kufungua Radio na TV Station by the end of January tutakuwa hewani, wewe shikilia haya maneno yako siamini wewe ni Mwanaume no way U knpw hahahahahahah utaendelea kunisoma sana mkuu!!

Le Mutuz
 
Huu ni ujinga kufanywa na babu anaekaribia kufikisha miaka 60, Tafadhali old boy waheshimu hata wanao uliowazaa they don't deserve Father of this category.

Nimefuatilia hii thread naona kuna question mark kwenye maisha ya huyu bwana. Lakini kwa upande mwingine si issue kubwa sababu sidhani kama anafanya chochote kibaya na hawa mabinti - sidhani kama anafanya nao mapenzi to be precise. Sioni vibaya sababu kuna wazee zaidi wake wanajihuzisha kimapenzi na mabinzi wa umri wa wajukuu zao kisiri siri. Kama kuna data za yeye kufanya mapenzi na vibinti zileteni hapo itakuwa scandal. Otherwise, he seems to be a jovial man who enjoys uplifting people emotionally, and of course make money through social media. And the girls needs the publicity.
 
W. J. Malecela wewe ni wa kipekee, Makumbusho waangalie jinsi gani watakuhandle, tunaweza ingiza pesa ya maana toka Ughaibuni tukiwa makini...
 
Last edited by a moderator:

ImageUploadedByJamiiForums1420208005.038065.jpg

PM mtarajiwa huyo
 
Last edited by a moderator:
Duh huyu kwangu si dingi kabisa? Kwakweli nimefuatilia toka page1 hadi ya mwisho. Huyu mzee atakuwa c hayati c mamati, na nyinyi dadazetu mnaolewa na mtu kisa ni mtoto wa waziri, hv kwa akiri ya huyu mzee anaweza kuishi na familia kweli? Au zamani hakua hv ninyi mnao mfahamu? Me namshauri aingie bongo move aigize na mzee Majuto areplace ile nafasi ya marehemu shalo, japo shalo alikua akiigiza kumbe kweli watu km hawa wapo! Asee cjawah ona hii. Na alisoma degree za nn huyu? Ndo maana watu wanadharau elimu ckuhz maana wajinga wengi sana, ss mtu na degree tatu unafanya kazi ya kupiga picha na watu ili upate hela? Blog blog bloger? Hii ni kaz ya waandishi wa habali, afu kutumia au kumiloki blog hakuhitaji shule ndo maana zipo nyingi. Ww umejulikana kutokana na umaarufu wa babaako. Najaribu kupata picha km mzee asingekiwa maarufu, huyu jamaa ana akiri ya kimasikini. Wenzake wa kina Kenyata, husen mwinyi, janiary makamba, wakina ridhiwani wanafanya vtu vya maana yeye anapiga pcha na vischana vya barabarani? Hata hao akina kikwete anaopigapicha nao nahic wanamzarau. Jaman usikute ni msukule wa mzee malesela! Jamani hadi ss watoto wake kabisa tunaakiri kiliko yeye, za nini degree tatu kwa kazi yake? C hata mtu wa darasa la saba anafanya? Pole sana mzee Malecela, kitanda hakizai haramu.

Umesema ukweli mtupu huyu jamaa ni kubwa jinga halafu mbaya zaidi hajitambui kama ni jinga
 
Nimefuatilia hii thread naona kuna question mark kwenye maisha ya huyu bwana. Lakini kwa upande mwingine si issue kubwa sababu sidhani kama anafanya chochote kibaya na hawa mabinti - sidhani kama anafanya nao mapenzi to be precise. Sioni vibaya sababu kuna wazee zaidi wake wanajihuzisha kimapenzi na mabinzi wa umri wa wajukuu zao kisiri siri. Kama kuna data za yeye kufanya mapenzi na vibinti zileteni hapo itakuwa scandal. Otherwise, he seems to be a jovial man who enjoys uplifting people emotionally, and of course make money through social media. And the girls needs the publicity.

- Genius!1

Le Mutuz
 
mimi huwa najiuliza tu kwann kila siku ajadiliwe huyu mtu tu? Kuna jambo si bure cz mtu hawez poteza mda kufuatilia maisha ya mtu mwngne bla sabab
 
Mada ya so called upuuzi wa Le Mutuz eti ina kurasa 25!

That speaks volumes about the folks who made it happen!
 
- My nigger 25 pages, 40,000 viewers now who is mpuuuzi U know? hahahahahahha I am humbled The King Of All Bongo Social Media Network alive!!

I mean..what can I say...

You doin' it ma ninja.

And if I were you I wouldn't change a damn thing coz evidently whatever it is that you are doing, is working.

So if it ain't broke, don't fix it.

Ya heard?
 
- Whaat? Change my lifestyle cause of some niggars with no life following other people's life and then come to cry here with fake IDs I am supposed to listen to these niggaz and change my life are U kidding me or what? hahahahahah it will never happen mamen never I just love the way they confess to love my lifestyle without knowing U know hahahahahahah the niggazz U know hahahaha

Le Mutuz
 
Umesema ukweli mtupu huyu jamaa ni kubwa jinga halafu mbaya zaidi hajitambui kama ni jinga

- Now look at this niggazzz wasap maan? I mean 25 pages Great Thinkers wanamjadili The King Of All Social Media Network asiyejielewa na kujitambua? hahahahahaha wewe unajitambua unaenda kupoteza muda na asiyejitambua tena page 25 hahahahahah

Le Mutuz
 
Mada ya so called upuuzi wa Le Mutuz eti ina kurasa 25!

That speaks volumes about the folks who made it happen!

Ofcourse it should be like this, because he is acting weird, and he is doing this as he has lost the golden opportunities he had once,

Coming from the family full of options and he didnt caught any, alposhtuka it was too late, politics starting at 50 was akward, watu wamempiga chini......

He was supposed to be a respected man, having a diamond deals kama kina January, Rizmoko, Mtoto wa Mwinyi et al, hilo halina ubishi unless angkua hajaonyesha interest katika siasa

Kifupi he is a lost fatman, apige picha na kina Shilole na kina Mziwanda wakati he should have arguing with gentlemen.
 
Back
Top Bottom