Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Hahahaaa!le tamkozzzzzzzzzz jaman ukistaajabu ya le mburulaz utaona ya le tamkozzz
 
Huu ni ujinga kufanywa na babu anaekaribia kufikisha miaka 60, Tafadhali old boy waheshimu hata wanao uliowazaa they don't deserve Father of this category.

Mgogo ni mgogo tu, hata asome vipi ,hata apate exposure vipi, huwa anabaki kuwa mgogo tu!
 
Jana nimemsikia XXL ya clouds anaelezea sakata la Miss Tanzania. Jamaa yuko vizuri, alitoa maelezo mazuri tu. Ifike hatu tukubali na kuheshimu lyfstyle ya mtu aliyoichagua.

Hizo shughuli ndo zinamfanya aende chooni itakuwa sio poa kumkandia ki hivyo. Au mnataka naye akafanye biashara ya kuuza ngada kama wale watoto wa wakubwa???

Big up Le Mbululaaaazzz.
 
Le babuz linajifariji baada ya kunyang'anywa tonge mdomoni kisa halina six packs... Eti super project.....
 
Sijapenda...mamake Le Mutuz na babake tuwaache tuu,uchungu wa mwana aujuae mama kama wewe unamwona nuksi kwa mamake ni blessing tosha.

Hii nimeipenda,afu sijui kwa nini wanampaga kick humu? Au anawatuma?
 
Hii nimeipenda,afu sijui kwa nini wanampaga kick humu? Au anawatuma?

Mimi nafanana na kutumwa? Unamfahamu binti wa Mzee Ngwilulupi Ex wife wa Le Mutuz? She deserve better than this.

Ukishakuwa mzazi ni lazima uwaheshimu watoto na mama yao, lazima uwe na limit na baadhi ya mambo.
 
Back
Top Bottom