franksarry
JF-Expert Member
- Nov 9, 2009
- 1,284
- 481
Le mutuz, Mmoja wa viongozi wa Wazazi CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mh kweli kina mama wengine wanasafisha matumbo jamaa asingezaliwa bimkubwa angesumbuliwa na michango.
Huu ni ujinga kufanywa na babu anaekaribia kufikisha miaka 60, Tafadhali old boy waheshimu hata wanao uliowazaa they don't deserve Father of this category.
Sijapenda...mamake Le Mutuz na babake tuwaache tuu,uchungu wa mwana aujuae mama kama wewe unamwona nuksi kwa mamake ni blessing tosha.
le Mutuz ni Hero na role model wa vijana na wazee,he represents an ageless society!
Sijapenda...mamake Le Mutuz na babake tuwaache tuu,uchungu wa mwana aujuae mama kama wewe unamwona nuksi kwa mamake ni blessing tosha.
Hii nimeipenda,afu sijui kwa nini wanampaga kick humu? Au anawatuma?
Mimi nafanana na kutumwa? Unamfahamu binti wa Mzee Ngwilulupi Ex wife wa Le Mutuz? She deserve better than this.
Ukishakuwa mzazi ni lazima uwaheshimu watoto na mama yao, lazima uwe na limit na baadhi ya mambo.